Tatizo la harufu mbaya ukeni

Apr 30, 2016
54
28
MATATIZO YA UZAZI KWA WANAWAKE.

HARUFU MBAYA UKENI.
Hili ni tatizo lisumbualo wanawake wengi duniani, kutokwa na harufu mbaya ukeni hususan wakati wa tendo la ndoa. Hali hii ya kufedhehesha humudhunisha sana mwanamke husika sio tu wakati ule wa tendo bali siku zote. Huchukua muda mwingi kuifikiria hali hiyo bila majibu yoyote sahihi, mara nyingi hujihisi kuwa ni mchafu.

SABABU.
Sababu zipo nyingi zinazopelekea hali hiyo;
1. Magonjwa ya zinaa (S.T.D's) kama kaswende, kisonono n.k
Magonjwa haya yasipotibiwa kwa wakati hupelekea mwanamke hupelekea tatizo hili la harufu mbaya ukeni.

2.Matumizi mabaya ya dawa za "Anti-biotic". Hutumiaji kiholela wa dawa hizi bila ushauri au maelekezo ya wataalam wa afya ni moja ya sababu ya kupata tatizo hili, hivyo ni vema watu wajilazimishe kufata ushauri na maelekezo ya wataalamu wa afya.

3. Usafi hafifu nao ni moja ya visababishi vya kupata tatizo hilo kwa mwanamke.

4. Maambukizi katika via vya uzazi (Pelvic inflamatory disease). Ni tatizo litokanalo na magonjwa sugu ya zinaa, magonjwa ambayo hayakugundulika mapema, tiba hafifu au uzembe wa kutumia dawa.

5. Bacteria wa Vaginosis. Kwa kawaida mwili wa binadamu una bacteria wa aina mbili, bacteria rafiki na bacteria adui. Kwa kuwa hiyo sio mada ya leo basi turudi kwenye mada yetu.
Ukeni kuna bacteria rafiki kwa kiwango kinacho hitajika, bacteria hawa wanapo ongezeka na kuvuka mahitaji huwa sio rafiki tena, huanza kushambulia sehemu hiyo ya mwili na kuruhusu maambukizi ambayo husababisha vijiuyoga vinavyo vujisha majimaji yatoayo harufu mbaya.

DALILI.
Kama tatizo hili litatokana na kisonono tatizo dalili zake zitakua zile za kisonono ambazo ni;
-Maumivu wakati wa haja ndogo
-Mkojo kutanguliwa na usaha n.k

Kama chanzo ni kaswende basi hali hiyo itaambatana na miwasho mikali na kidonda katika mlango wa uke, kidonda hiki huwa hakina maumivu pindi unapokigusu.

Kama itatokana na fangasi watokanao na maambukizi katika via vya uzazi vilevile muathirika anaweza kupata miwasho.

ANGALIZO.
Wakati mwingine sio lazima mtu atokewe na dalili hizi isipokua maji meupe kama maziwa yaliyo via, weupe unaoelekea kwenye unjano.

TIBA.
Matibabu ya tatizo hili ni magumu hususani hospitali na hata matabibu wetu wa tiba mbadala baadhi hawajafahamu dawa hasa ya tatizo hili. Alhamdulilah sasa ipo dawa ya kukomesha tatizo hili.
MASRUURA ni dawa inayoponya na kukuondolea fedheha na udhalili, inakupa furaha na kujiamini katika jamii. Ina viini vya Phytochemicas pamoja na madini ya Potasium, kupitia viini hivi na madini haya dawa MASRUURA huwa na sifa ya kuangamiza kabsa bacteria wajulikanao kama Escherichia colibacteria pia kuondoa maambukizi ya Candiada Albicans ukeni.

Soma na sambaza ili umma upate faida kwani kujua ni mwanzo wa kutatua tatizo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom