Tatizo kubwa-1: Cdm = ccm; let me be open...chadema katika hili mmeangushwa and you will die

kwa ulicho wakilisha utafikiri wewe ndo muakilishi wa waTZ walio zaidi ya milioni 40..anyway ni mtazamo tu
 
Weboroya kwetu maana yake ni unafiki! mi nadhani unegejua matiki na dhana nzima ya upinzani nini, pili ungejitahidi ukatafuta hii nchi ilikuwaje na watu wake walikuwaje tangu miaka ya sabini enzi za Sokoine na tuko wapi kwa sasa kisiasa, kiuwajibikaji, kieleimu, kiuchumi, kiafya, kimaendeleo kwa ujumla.

THEN NENDA MBALI UTAFUTE NI KWANINI TUMEFUIKA HAPA, NI NANI KATUFIKISHA HAPA NA MAISHA YETU YATAKUWAJE KWA BAADAE THEN SOGEA MBELE ZAIDI, ANGALIA MAMBO YANAYOENDELEA YA UNYANYASAJI, UKANDAMIZAJI NA UFIKIRIE ZAIDI NI NANI ANAFANYA HAYA NA KWA AMRI YA NANI NA KWA MINAJIRI IPI THEN SOGEA UJIULIZE MWISHO WA NCHI HII NI NINI NA SURA NA MWONEKANO WA NCHI KAKA NCHI UKOJE, SURA YA MTANZANIA MBELE YA WATU WENGINE IKOJE NA USISITE KUENDELEA KUJIULIZA?

JE HAYA YATAONDOKAJE KATIKA JAMII HATIMAYE TUWE NA NCHI YENYE WASOMI WA KWELI, UCHUMI WA KWELI, KILIMO CHA UKWELI, VIWANDA NA AFYA YA UKWLEI? LAZIMA WAWEPO WATU KAMA CHADEMA, WATU WASIOPENDA KUONA HAYA YOTE YANATOKEA, WATU KAMA MTIKILIA, WATU KAMA LUCKMAN, WAPAMBANAJI KWA NJIA MBALIMBALI, WALIOTAYARI KUFANYA LOLOTE KWA MUDA WOWOTE BILA KUJALI MALIPO YA FEDHA BALI UTU WA MTU KWANZA!

HII ITAFANYA NA WATU WENYE UPEO WANAOJUA NA WANAOWIWA KUACHA LEGACY SIKU ZIJAZO!WALIOTAYARI KURUDISHA IMANI NA MATUMAINI YA WALE WOTE WALIOPOTEZA MATUMAINI NA NCHI YAO, UONGOZI WAO NA MAISHA YAO!WOGA NI ADUA WA HAKI!
 
CRAP,Sio lazima ulazimishe thread hata kama huna jambo la maana la kuwashirikisha wana jf,nimesoma mada yako ni upupu tu ,unaandika kwa kulalamika sijui lunch imekupiga chenga! Huna tofauti na wahujumu uchumi kwani,unaonekana umesoma lakini h uoni wala husikii au una damu ya ccm wewe?

Umeambiwa waliopo hapa jf sio wote ni cdm bali wengi ni wale wenye uchungu na nchi hii wanaoona nchi hii haiendeshwi inavyostahili tayari wewe unawaita ni cdm.halafu unasema ''leo hii mtu yuko radhi kuwasema watu fulani wa ccm''wewe ulitaka wasemwe akina nani?

Napata picha ya haraka haraka wewe ni magamba acha kujificha unasumbuka bure umekwama kwenye tope gumu la ccm subiri wenye akili zao waje wakukomboe. Cdm haiitaji waoga kama wewe wasio na macho wasioweza kukemea ufisadi,rushwa na uzembe,baki huko huko ccm.
 
Back
Top Bottom