Tatizo kubwa-1: Cdm = ccm; let me be open...chadema katika hili mmeangushwa and you will die

Wamekuja kwa kasi sana kati ya jana na leo make hata thread walizoanzisha zimekaa ki-kilazakilaza.
Wenye mapenzi mema na TZ tuachane nao tuwaachie waanzishe hizo thread wajadili kivyao wakiona tumewapuuza wataondoka wenyewe.
JF home of great thinkers.
 
Wakati wengi tukilalamikia CCM kuwa ni wajinga, hawafai watoke madarakani na hawajui kujibu hoja. wana CDM wengi sana hasa walioko JF wanathibitisha ni jinsi gani wanavyoshabihiana na CCM kwa kila kitu, ikiwemo matusi, kukishindwa kujibu hoja, vijembe n.k

Is this could be realy politics or just wasting time??; mnakiharibu chama chenu, mnaharibu image yenu, mnaharibu sifa yenu, mnaharibu akili zenu, mnaaibika na kamwe chadema siku zijazo kinaweza kuwa cha mambumbumbu zaidi. Wengi hapa JF mkijionyesha ni wanachadema basi ndio raha yenu au kujionyesha mnajali...hii ni seduction au ndoto..bila akili wala kufikiri hatuchomoki kwa CCM kumbukeni watanzania hawa kuwageuza akili ni kitu cha masaa tu!

Leo mtu yuko radhi kupoteza muda kuwasema watu fulani wa CCM, na wakijitokeza angalau wazuri fulani kama akina MAGUFULI BASI CDM automatically imekufa na mpango mzima wa kuindoa CCM ndio unakufa!!! HII NI VITA NA WENYE AKILI TU NDIO WATAKASHINDA.

Tuhuma zinaelekezwa sana tu na zitaelekezwa tu kwa CDM tena sana, but we need shock absorbers to absorb this shock positively na sio kukurupuka na kuonyesha jinsi gani upeo wenu ulivyo dumavu. Akili za mikumbo ni mbaya sana na kwa kusema hivi sitasema tena . Ni jukumu la CDM kuwaaambia wanachama wenu jinsi gani ya kubehave.....watu wenye akili wataona huu ni ujinga na hamna tofauti na CCM tu wale wale.

Kujenga hoja ni ukomavu wa akili na ni tabia ya kiongozi bora na mfuasi bora.Hoja za billioni 20 mbona ni rahisi kuzijibu, matusi ya nini??

Siamini kama wengi ni failures humu...KAENI CHINI FIKIRI KABALA YA KUJIBU

Naanza kukiogopa chadema kwa mara nyingine tena. Mlinivuta juzi kwenye maadamano tunakoenda kama hamtabadilika kuna miaka 15 tena ya kuwaza kuingia madarakani. Na watu kama mimi tukisema ndio tumeamua!!

Hata siku moja haukuti constructive ideas za wana-CDM ni vijembe, kupeana taarifa, kulalamika, kutukana, n.k THESE ARE NOT THINKERS PLEASE DONT CONVINCE ME OTHERWISE!

Hakuna mtanzania aliyetayari kuwapa uongozi wa nchi chama ambacho viongozi wake wako smart lakini wafuasi wengi ni mbumbumbu!

CUF walianza vizuri viongozi walikuwa smart na wafuasi wao walikiangusha chama wakakipa title ya uislamu na leo hii kimeishakufa..afadhali ya CUF kipewe titile ya udini kuliko CDM kipewe title ya kuwa wafuasi wake ni wajinga! sitaki kufika huko!

Ajikunaye ujuwe kawashwa.Laiti Chadema wangekuwa the way you unsuccessfully tried to portray them wala usingepoteza muda wako kuwazungumzia.Na mtasema sana mwaka huu.So did Mubarak and Ben Ali....
 
Wapendwa.
Kwa siku za hivui karibuni kumeibuka mpambanop mkali sana(kwa mjibu wa post za mebers kuhusu siasa) ambapo wapenzi,wafuasi na wakereketwa wa vyama hivyo wanashambuliana ile mbaya.Ile ya zamani ambapo CHADEMA walionekana kuwafunga bao wenzao wa CCM humu JF(2005-2010) sasa naona kama CCM wamesawazisha bao la kwanza katika kipindi hiki cha kwanza(2010-2015).

Wachezaji wa timu ya CHADEMA naona inaongzwa na No avatar na CCM ......Mwamuzi moderator JF wanachezesha fear play.Sisi watazamaji tunaendelea kutazama pambano(kusoma post na comment za members).

Ukitaka kutazama mpambano huu,tembelea JF kila mara.

mimi ni mtagazaji wenu MB wa redio JF

You got it all wrong.Ni mapambano kati ya wazalendo wenye nia ya kukomboa nchi yao VERSUS vikaragosi wanaotumiwa na mafisadi.These poor souls know for sure that they are being used but njaa zao zinawafanya wakubali kuweka kando utu wao

The righteous shall prevail
 
Umejitahidi kutoa mada yako vizuri lakini, nahisi umeenda haraka na kusahau kwamba baadhi ya wanaJF wanaoiponda CCM na kutoa vijembe ni wana CCM ambao wamekata tamaa na kutojua pa kwenda kwa kuwa hata CDM wanaiangalia kwa jicho la kitafiti zaidi kuliko kuiunga mkono blindly.
Mimi ni mmoja wapo na kuna baadhi ya wajinga nimewapiga vijembe kutokana na hoja zao kuwa za mizimuni kuliko kuona ukweli. Mfano mtu anayetaka watu waamini JK anaandamwa kwa sababu ya udini na si namna yake ya kuongoza hasa kumwachia RA madaraka yote. Baadhi ya watu hawa eidha wanakusudia kukejeli au ni mambumbu pengine kuliko hao unaowadhania wewe.
 
Hakuna mtanzania aliyetayari kuwapa uongozi wa nchi chama ambacho viongozi wake wako smart lakini wafuasi wengi ni mbumbumbu!

CUF walianza vizuri viongozi walikuwa smart na wafuasi wao walikiangusha chama wakakipa title ya uislamu na leo hii kimeishakufa..afadhali ya CUF kipewe titile ya udini kuliko CDM kipewe title ya kuwa wafuasi wake ni wajinga! sitaki kufika huko!

Nadhania wapo Watanzania ambao tayari wameshafanya hivyo.
 
Wamekuja kwa kasi sana kati ya jana na leo make hata thread walizoanzisha zimekaa ki-kilazakilaza.
Wenye mapenzi mema na TZ tuachane nao tuwaachie waanzishe hizo thread wajadili kivyao wakiona tumewapuuza wataondoka wenyewe.
JF home of great thinkers.

Mbona hata wewe na miye tumeingia juzi tu?? Au tumetumwa pia? Acha kuchemka wewe
 
tolea mfano mzee ujinga wa wafuasi wa jf ni upi mbona unaonekana umekasirika badala ya kushauri manake hata wewe unaonyesha unataka wafuasi wa cdm wakubalikubali tu mambo hata yale yasiostahiki
nenda kwenye post yangu ya "pinda apokelewana mabango yanayolaani chadema" utajionea mwenyewe matusi niliyopewa mpaka nimekosa hamu na jf,yani baada ya kujibu hoja wanatoa vijembe na kukashifu,huu ndo great thinker?
 
Wakati wengi tukilalamikia CCM kuwa ni wajinga, hawafai watoke madarakani na hawajui kujibu hoja. wana CDM wengi sana hasa walioko JF wanathibitisha ni jinsi gani wanavyoshabihiana na CCM kwa kila kitu, ikiwemo matusi, kukishindwa kujibu hoja, vijembe n.k

Is this could be realy politics or just wasting time??; mnakiharibu chama chenu, mnaharibu image yenu, mnaharibu sifa yenu, mnaharibu akili zenu, mnaaibika na kamwe chadema siku zijazo kinaweza kuwa cha mambumbumbu zaidi. Wengi hapa JF mkijionyesha ni wanachadema basi ndio raha yenu au kujionyesha mnajali...hii ni seduction au ndoto..bila akili wala kufikiri hatuchomoki kwa CCM kumbukeni watanzania hawa kuwageuza akili ni kitu cha masaa tu!

Leo mtu yuko radhi kupoteza muda kuwasema watu fulani wa CCM, na wakijitokeza angalau wazuri fulani kama akina MAGUFULI BASI CDM automatically imekufa na mpango mzima wa kuindoa CCM ndio unakufa!!! HII NI VITA NA WENYE AKILI TU NDIO WATAKASHINDA.

Tuhuma zinaelekezwa sana tu na zitaelekezwa tu kwa CDM tena sana, but we need shock absorbers to absorb this shock positively na sio kukurupuka na kuonyesha jinsi gani upeo wenu ulivyo dumavu. Akili za mikumbo ni mbaya sana na kwa kusema hivi sitasema tena . Ni jukumu la CDM kuwaaambia wanachama wenu jinsi gani ya kubehave.....watu wenye akili wataona huu ni ujinga na hamna tofauti na CCM tu wale wale.

Kujenga hoja ni ukomavu wa akili na ni tabia ya kiongozi bora na mfuasi bora.Hoja za billioni 20 mbona ni rahisi kuzijibu, matusi ya nini??

Siamini kama wengi ni failures humu...KAENI CHINI FIKIRI KABALA YA KUJIBU

Naanza kukiogopa chadema kwa mara nyingine tena. Mlinivuta juzi kwenye maadamano tunakoenda kama hamtabadilika kuna miaka 15 tena ya kuwaza kuingia madarakani. Na watu kama mimi tukisema ndio tumeamua!!

Hata siku moja haukuti constructive ideas za wana-CDM ni vijembe, kupeana taarifa, kulalamika, kutukana, n.k THESE ARE NOT THINKERS PLEASE DONT CONVINCE ME OTHERWISE!

Hakuna mtanzania aliyetayari kuwapa uongozi wa nchi chama ambacho viongozi wake wako smart lakini wafuasi wengi ni mbumbumbu!

CUF walianza vizuri viongozi walikuwa smart na wafuasi wao walikiangusha chama wakakipa title ya uislamu na leo hii kimeishakufa..afadhali ya CUF kipewe titile ya udini kuliko CDM kipewe title ya kuwa wafuasi wake ni wajinga! sitaki kufika huko!
MKUU unachoengea ni sahii kabisa,huo ugreat thinker wanounadi ni upi
nenda kwenye post yangu ya "pinda apokelewana mabango yanayolaani chadema" utajionea mwenyewe matusi niliyopewa mpaka nimekosa hamu na jf,yani baada ya kujibu hoja wanatoa vijembe na kukashifu,huu ndo u great thinker?
 
Nikiwa na habari za Ki-Intelejensia na za uhakika kuwa Vijitoto vya Mafisadi vimeambiwa kuwa vielekeze nguvu zao kwenye mitandao ili kukisafisha chama chao na huku Mifisadi mikubwa ikitumi Magazeti na TV's Kujisafisha wakati hawasafishiki. Kwa hiyo Wana-JF mvumilie kipindi hichi cha Mafisadi wadogo wakiwatetea baba zao kwenye mitandao, na baba zao wakiwa upande wa pili wa TV's. Zipuuzeni wana-JF hizo post zao wanatafuta cha kuanzaia nacho. Nawasilisha.
 
Wakati wengi tukilalamikia CCM kuwa ni wajinga, hawafai watoke madarakani na hawajui kujibu hoja. wana CDM wengi sana hasa walioko JF wanathibitisha ni jinsi gani wanavyoshabihiana na CCM kwa kila kitu, ikiwemo matusi, kukishindwa kujibu hoja, vijembe n.k

Is this could be realy politics or just wasting time??; mnakiharibu chama chenu, mnaharibu image yenu, mnaharibu sifa yenu, mnaharibu akili zenu, mnaaibika na kamwe chadema siku zijazo kinaweza kuwa cha mambumbumbu zaidi. Wengi hapa JF mkijionyesha ni wanachadema basi ndio raha yenu au kujionyesha mnajali...hii ni seduction au ndoto..bila akili wala kufikiri hatuchomoki kwa CCM kumbukeni watanzania hawa kuwageuza akili ni kitu cha masaa tu!

Leo mtu yuko radhi kupoteza muda kuwasema watu fulani wa CCM, na wakijitokeza angalau wazuri fulani kama akina MAGUFULI BASI CDM automatically imekufa na mpango mzima wa kuindoa CCM ndio unakufa!!! HII NI VITA NA WENYE AKILI TU NDIO WATAKASHINDA.

Tuhuma zinaelekezwa sana tu na zitaelekezwa tu kwa CDM tena sana, but we need shock absorbers to absorb this shock positively na sio kukurupuka na kuonyesha jinsi gani upeo wenu ulivyo dumavu. Akili za mikumbo ni mbaya sana na kwa kusema hivi sitasema tena . Ni jukumu la CDM kuwaaambia wanachama wenu jinsi gani ya kubehave.....watu wenye akili wataona huu ni ujinga na hamna tofauti na CCM tu wale wale.

Kujenga hoja ni ukomavu wa akili na ni tabia ya kiongozi bora na mfuasi bora.Hoja za billioni 20 mbona ni rahisi kuzijibu, matusi ya nini??

Siamini kama wengi ni failures humu...KAENI CHINI FIKIRI KABALA YA KUJIBU

Naanza kukiogopa chadema kwa mara nyingine tena. Mlinivuta juzi kwenye maadamano tunakoenda kama hamtabadilika kuna miaka 15 tena ya kuwaza kuingia madarakani. Na watu kama mimi tukisema ndio tumeamua!!

Hata siku moja haukuti constructive ideas za wana-CDM ni vijembe, kupeana taarifa, kulalamika, kutukana, n.k THESE ARE NOT THINKERS PLEASE DONT CONVINCE ME OTHERWISE!

Hakuna mtanzania aliyetayari kuwapa uongozi wa nchi chama ambacho viongozi wake wako smart lakini wafuasi wengi ni mbumbumbu!

CUF walianza vizuri viongozi walikuwa smart na wafuasi wao walikiangusha chama wakakipa title ya uislamu na leo hii kimeishakufa..afadhali ya CUF kipewe titile ya udini kuliko CDM kipewe title ya kuwa wafuasi wake ni wajinga! sitaki kufika huko!
Mkuu kabla hujawanyooshea kidole wana cdm,walilie hao ccm na wanaowaunga mkono maana hawajui watendalo kwa taifa hili,bora hata hao waliofumbuka na kuamua kwenda kinyume na udhalimu wa ccm.najua tutafika saa ya ukombozi yaja Amini nakwambia!
 
teh! teh! teh! Hao ni hazina ya chama, Makenge wasiokosa ktk msafala wa Mamba wakubwa! Ktk kizazi chetu hamna nafasi, Bora mjisalimishe kwa wananchi.
 
vita kwa njia ya kisiasa ktk mazingira ya tz na kwa mitazamo ya watz kwa muda mrefu ni vita ngumu sana! Mpaka hapa cdm walipotufikisha si pabaya,elimu ya uraia inazidi kusambaa kwa kasi,uelewa wa wananchi tu ni fimbo tosha kwa watawala na ndio dalili za saa ya ukombozi wakuu,peopleees poweeer!
 
Nikiwa na habari za Ki-Intelejensia na za uhakika kuwa Vijitoto vya Mafisadi vimeambiwa kuwa vielekeze nguvu zao kwenye mitandao ili kukisafisha chama chao na huku Mifisadi mikubwa ikitumia Magazeti na TV's Kujisafisha wakati hawasafishiki. Kwa hiyo Wana-JF mvumilie kipindi hichi cha Mafisadi wadogo wakiwatetea baba zao kwenye mitandao, na baba zao wakiwa upande wa pili wa TV's. Zipuuzeni wana-JF hizo post zao wanatafuta cha kuanzaia nacho. Nawasilisha
 
Mkuu, this was made out of frustrations.

I was regarding you as liberal the same as many of us. You was trying to present a good idea but the whole thing has been spoiled by hate and insults. You see, you have fallen into the same trap.

Hope you will get a second chance to look at it again.
 
Wa Beroya unatakiwa ujue kuwa hakuna anaekutaka ujiunge na chadema kwani mtazamo wako unaonekana kabisa kuwa ni wa kiCcm zaidi unajifanya ulishashawishika kujiunga na Chadema wapi wewe?!! sema tu inakuuma mafisadi wenzako wanavyotapatapa. kwanza inabidiwe uele kuwa population ya wajinga wengi ndio wanaosupport sisiem just kama wewe watu wasiojua hata kinachoongelewa wakati watu wanaongelea maisha magumu wao wanaota vita na umwagaji wa damu ambao kimsingi sio ndiyo hoja tunayoizungumzia watu kama hao ni viongozi na wanachama wa chama eti kinachotawala huu ni upuuzi mkubwa unajua saa nyingine watu wanaweza kutumia lugha kali kidogo kwa sababu ya kulinganisha mtu na cheo chake na anachokiongea wanajikuta wametukana lakini hiyo haimaanishi wao ni mbumbumbu mambumbumbu ni wafusi wa chama cha mafisadi wewe chunguza utaona mahali ambako watu wamesoma kuna support kubwa ya cdm na kule village ambako watu wameshikwa na kanga na vitenge vya mafisadi ndio wanaosupport ccm na hao nao tuko njiani kuwaelimisha wewe utakula wa chuya. Eti unatulinganisha na cuf ccm b? mbona unaongelea mambo yaleyale sisi haturudishwi nyuma na mtu mfinyu wa mawazo kama wewe kwanza hatukuhitaji mapaka utakapokuwa na nidhamu ya kujadili mada zilizo komavu kaa mbali na sisi wewe mnafiki.
 
Back
Top Bottom