Tatizo kubwa-1: Cdm = ccm; let me be open...chadema katika hili mmeangushwa and you will die

Nikiwa na habari za Ki-Intelejensia na za uhakika kuwa Vijitoto vya Mafisadi vimeambia kuwa vielekeze nguvu zao kwenye mitandao ili kukisafisha chama chao n huku Mifisadi mikubwa ikitumi Magazeti na TV's Kujisafisha wakati hawasafishiki. Kwa hiyo Wana-JF mvumilie kipindi hichi cha Mafisadi wadogo wakiwatetea baba zao kwenye mitandao, na baba zao wakiwa upande wa pili ya TV's. Zipuuzeni wana-JF hizo post zao wanatafuta cha kuanzaia nacho. Nawasilisha.
 
mmoja ni yule aliyevaa suti ya kipaimara na mawani ya jua..kashaga sijui..lakini hawa ni akina rweyemam na makamba tu....
 
Ni kweli hata vichani mwao kumejaa usaha badala ya ubongo . wanapost pumba tuuuuuu. Agrrr
 
Namimi nimeona...ni utoto tu wakikua wataacha....Tena wote yaonekana wameingia kati ya leo jana au wiki hii.....Basi hata kama wametumwa waandike vitu vyenye ushahidi... Hili Jukwaa si la Chama chochote bali watanzania wanaotaka haki na maisha mazuri siku zijazo.
 
Mbona hamna kitu chochote wanacho andika humu! huo uozo ndio kujisafisa au wanajisafisa na maji yenye matope?, hacheni kujibizana nao soma mada kama ni upuuzi jibu upuuzi au achana nayo songa mbele
 
Waberoya,

Inawezekana kuna jambo ambalo halijakufurahisha. Lakini hujalisema kwenye post yako. Hujasema umbumbumbu wa Chadema ni nini haswa.

Kwa mfano, hapa inawezekana mimi kama mwanachadema ni mbumbumbu kwa sababu nashindwa kujibu hoja yako. Siijui.

Ingekuwa vyema ukaisema wazo kwa sentensi mbili au tatu ili tuijibu hoja yako. Kama ina ukweli tutakubali kukosolewa, hilo sio tatizo.
 
Waache waendelee kuna sehemu watapayuka kitu halafu tutaanzia hapohapo
 
Ni kweli kuna kaupepo kakutetea wahuni hapa ndani ya jamvi.
Naona ile OPERESHENI SAFISHA LOWASSA"OSALO"imerudi kwa kasi.
Hakuna mkakati wa kuwasafisha utakaofanikiwa.
 
Philosophy ya majibu ndiyo inaelekeza hivyo; 'mjibu mpumbavu kwa kadri ya upumbavu wake' hii ni Biblia, Wazungu wao usema "Garbage in garbage out" sijawai kuona hoja ya kujibu hata moja, ikitokea mtaona majibu; ila kinachowasumbua nyie CCM- B ni kujaribu kumnadi Magufuri humu ndani magufuri hamna kitu mnapoteza muda wenu kupika kelele zisizo na kichwa wala miguu juu ya magufuri hafai hata kuwa katibu kata, mnajidanganya na hizo fedha za Ufisadi alizowapa kumnadi kila siku Magufuri mchapakazi, kazi gani anachapa!

Unaweza kumsifia mbwa kuwa anafaha wakati mfuga mbwa unasema hafai na hajui kufuga! hamnazo kabisa, leteni data za uchapa kazi wa huyo Pombe wenu hapa siyo maneno matupu.

inakubalika kwenye akili ya Mpumbavu tu, kuwa Kikwete hafai ameshindwa kazi na Magufuri anafaha ni mchapakazi kwa kipimo kipi? wanaofanya kikwete aonekane hafai ni hao mawaziri wabovu wanafikiria urais kama Magufuri, eti kipimo cha kuchapa kazi iwe kubomoa nyumba za watu bila fidia "UOZO na AKILI za MAKAMSI"
 
Hakuna ushindani. Ukweli ni kuwa wanaokerwa na maovu ya serikali(not CCM) wako kusimamia ukweli ulio dhahiri. Wanaowapinga ni wajasiriamali ambao wanalipwa kutokana na kazi hiyo ya kusafisha serikali inayoongozwa na CCM. Kwa bahati mbaya mtu akisema ukweli kuhusu serikali anaonekana kama vile anasimamia CDM. Got me negro?
 
Kama wanaakili nzuri, basi watabadilika kutokana kujionea wanavyochemka kwa udhaifu wa hoja/pandikizi na jinsi watu wanavyoendelea kuamka. Ila ninawasiwasi, najua hawa wengi wao wamerithi akili za wazazi wao zisizoelimika.
 
Nilikwishaliona hili waache waendelee kuwatetea ingawa hawasafishiki iko siku wataelewa maana ya "nchi ya Tanzania kwa ajili ya watz wote na c wachache!"
 
Waacheni waingie hawatoki salama hawa, watatoka wakiwa na kadi za CDM maana JF ni mtambo wa kurekebisha tabia.Ma-boss wao kina Sitta, Mwakyembe, Sumaye na Mkapa ndiyo viwanja vyao hapa JF.Mi yangu macho
 
Sasa hii nayo ni siasa . Au na wewe umetumwa?

ZING: Hilo ndilo tatizo,, kuna watu humu wana mlengo mmoja tu. Mathalani inaweza kuwekwa thread humu ikijadili suala kuhusu kiongozi fulani,, wote watakuwa very negative,, cha ajabu on the reverse ikija thread similar to that ikimjadili kiongozi mwingine wa mlango wa pili, matusi yanaanza. Ssa hapa alotumwa yupi?
 
Nikiwa na habari za Ki-Intelejensia na za uhakika kuwa Vijitoto vya Mafisadi vimeambia kuwa vielekeze nguvu zao kwenye mitandao ili kukisafisha chama chao n huku Mifisadi mikubwa ikitumi Magazeti na TV's Kujisafisha wakati hawasafishiki. Kwa hiyo Wana-JF mvumilie kipindi hichi cha Mafisadi wadogo wakiwatetea baba zao kwenye mitandao, na baba zao wakiwa upande wa pili ya TV's. Zipuuzeni wana-JF hizo post zao wanatafuta cha kuanzaia nacho. Nawasilisha.

Big up!Nami nimebaini hilo kwani kuna posts za ajabu ajabu zimeanza kujitokeza na zote zikiwa na dhima ya aina moja: ku-paint picha kuwa harakati za Chadema si kwa manufaa ya Watanzania.Good news is,ukiona mtu anajikuna basi ujue amewashwa.Ujumbe wa Chadema unawanyima usingizi mafisadi na vikaragosi wao
 
Back
Top Bottom