Tatizo katika ku-access browser ya simu na operamini.

X-not

Member
Sep 9, 2010
58
4
Habari waungwana.
Ninaomba msaada katika kutatua hili tatizo.
Ninapenda sana kutumia browser ya operamini katika simu zangu zaidi hata ya browser ya simu yenyewe.
Lakini hivi karibuni nikijaribu kutumia operamini inakataa kabisa inachofanya ina-load tu halafu hata haifungui, tatizo hili nimesikia pia kutoka kwa watu wangu wa karibu wengi wakiwa wanatumia mitandao ya tigo, lakini hata wakibadili kwenda kweye Voda bado wanapatwa na tatizo hilo. Simu inaonyesha kabisa kwamba inapokea acess ya internet kwa kuonyesha alama ya E au G lakini haiwezekani kufunguka, tafadhari yeyote anayeweza nisaidia.
 
Inaleta msg gani?
Inawezekana umebadili settings za internet kwa simu yako, simu kama nokia hata ukiweka tarehe na mwaka sio ktk simu operamini haifungui.
Unatumia simu gani? Na operamini ipi.
Waweza kuitoa na kuinstall upya
 
Nami simu yangu Nokia 2700 ina hiyo tatizo unatoaje na kuinstal upya vipi?
 
Inaleta msg gani?
Inawezekana umebadili settings za internet kwa simu yako, simu kama nokia hata ukiweka tarehe na mwaka sio ktk simu operamini haifungui.
Unatumia simu gani? Na operamini ipi.
Waweza kuitoa na kuinstall upya

mkuu, inaniambia connection error check your network configuration and try again.
Hili nimelipata kwenye nokia E series, na samsung pia, nimejaribu kuomba upya configurations katika samsung bado browser ikagoma kufunguka, nilijaribu kuhamisha opera kutoka simu yangu kwenda kwenye hiyo simu, nika instlaa, ila ikawa inastuck, kitu ambacho sikukielewa kwa sababu maranyingi simu zikisumbua hivyo ninacopy tu opera na kuhamishia kwao inakubali.
 
Back
Top Bottom