Wanandugu wa JF kwanza habari zenu wote.
Mimi ni mgeni kuchangia/kupost katika jamvi hili,ingawa nimekuwa ni mfwatiliaji mzuri wa forum hii, ninaipenda sana.
Leo nimeona bora niingie kuuliza swali.kuna jambo linanitatiza wakati wa kusex..huwa nikimaliza kusex kuna sauti inatika kubwa sana ukeni mwangu kama vile sauti ya kupumua na inakwua kama hewa inatoka na hurudia kama mara tatu hivi.
mwenza wangu hajawahi kulalamika ila mimi mwenyewe siko comfortable najua na yeye anahisi hivyo ila hawezi kunambia.
Je hii husababishwa na nini?na jinsi gani kuiepuka?Imenitokea kama mara mbili hivi nakosa raha mno.
Nisaidieni kwa mawazo na solution tafadhali.
Asanteni