Tathmini picha hii....Umegundua nini katika picha hii

KML

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
861
133
nape.jpg




Hii ni baadhi tu ya sehem alizokua anapita bwana mkubwa, mimi nimegundua kitu sijui wewe umegundua nini
 
Nimegundua Kumbe naye Nape anazeeka?afanye mazoezi yeye bado kijana .Kwani wewe umeona nini eee!
 
wazee wa ccm wanaoamini kuwa hadi leo nyerere ndie rais wa nchi na ccm ndio chama kilichowalea LOL!!!!!!!! kazi unayo nape
 
nimegundua kumbe naye nape anazeeka?afanye mazoezi yeye bado kijana .kwani wewe umeona nini eee!
mimi nimeona vibandiko vingi kichwani kwa wale waliomzunguka sa sijajua kama hawa wazee hawana shida au wameridhika na ccm kisa wamepandikizwa udini ndo maana hawataki chama cha mabadiliko.
 
Uislamu dini safi sana lakini wasomi hawatakiwi kuongoza taasisi za kiislamu. Ndo maana sie waislamu tunachekwa na kuhusishwa /kutumiwakwa na mambo ya ajabu ajabu. Yaone yalivyosimama na mikanzu yao. heri wangeshikana mikono na shetani kuliko huyo mnafiki mbele yao
 
naona anasalimiana na waganga wa kienyeji hapo. kafwata ramli..ccm maji ya shingo
 
Huyu ni Nape au Mwigulu Machemba? Maana leo nimeongozana naye (gari yake Toyota Prado a.k.a FISADI, ilikuwa mbele yangu) kutoka maeneo ya Mwenge tukajapotezana maeneo ya Ustawi wa Jamii, Shekilango Road! Alikuwa amevaa hivyo hivyo!
 
Uislamu dini safi sana lakini wasomi hawatakiwi kuongoza taasisi za kiislamu. Ndo maana sie waislamu tunachekwa na kuhusishwa /kutumiwakwa na mambo ya ajabu ajabu. Yaone yalivyosimama na mikanzu yao. heri wangeshikana mikono na shetani kuliko huyo mnafiki mbele yao.

EEEhhh! Jamani haipendezi kila wakati UISLAM/UKRISTO hebu tuwe tu kama wa-TANGANYIKA,tuheshimiane na kila mtu abakie na dini yake.....najua kila mtu ana haki ya kusema lile analo ona ni sawa so (Samahani kama nimekukwaza)

 
Mie naona anawaonesha mkasi anataka kwenda kukata utepe wa kufungua tawi la CCm, kwani wewe umeona nini eeenh?
 
Anafanya CCm kama kampuni yake binafsi? ziara gani ya peke yake? UVCCCM na viongozi wengine wa kitaifa wako wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom