Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,893
- 32,310
Jama tujifunze kukubali vitu vizuri hata kama vidogo, manji aliwalipia watazamaji mwanza kwenye mechi ya yanga, pesa ambayo angeweza kusomeshea watoto wengi tu, kwa rema kuangalia vipaombele vya taifa hapa nampongeza ninyi magamba mnaweza kuona ni kidogo sana but kwa mtu wa hali ya chini anakubali sana, ndo maana hata jk hapendwi na watu wa chini sababu ameshindwa kumaliZa matatizo madogo sana kama ya maji na umeme na wala haonyeshi juhudi za kuyamaliza.
Mkuu Henge.
Kwani Manji na mbunge? Kwa nini usitolee mfano gharama za Helicopter ya Chadema pesa yake unaweza kusomesha watoto wa ngapi?