Tathmini na uchambuzi yakinifu ( evaluation ) wa vifaa vya kiteknolojia

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Japo wengi hatujui laini mara nyingi tukitaka kununua vitu binafsi kama simu, kopmyuta, gari tunafaya tathmini na uchambuzi yakinifu . Kwa lugha ya kitaalam ni evaluation.

Matatzo Mengi ya vifaa vya teknolojia yanayotokee iwe ni vifaa vya majumbani, ofisini au serikalini ni ishara ya kuonyesha tathimi na uchambuzi yanikifu tunaofanya na wanaofanya wataalam kabla ya maamuzi kuamua kununua kutumia kifaa fulani zina mapungufu au hazifuati kanuni na viwango va kitaalam.

Mfano
I.
Serikali ilitumia model gani kuwapa RIchmond Tender ya kuleta umeme. Je maamuzi yalielema zaidi kwenye na ni kigezo gani kilipew auzito zaidi ya vingine??

  • Econonimcal evalution - Bei nafuu walisema watauza
  • Technical evalution- eg MGW walizosema ndizo tulizotaka
  • Time - eg Muda mfupi wa kuzalisha bidhaa
  • Legal evalution- eg urahisi wa uvunja au kubadilisha mkataba
NB:
Kwa maoni yangu binafsi Hii i kashfa ya Richmnd ilikuja sababau kuna vigezo na maadili ya kitaaluma ya evalution hayakuzingatiwa au hayakututiliwa maanani. Kuna tatizo la waamuzi kuweka umuhimu zaidi sheria na kusahau kama mikataba hiyo imezingtai madili ya taaluma iwe ni za kihandisi na kifundi.

Ni rahisi kampuni yeyote kushinda tender ya ujenzi lakini si rahisi kampuni yeyote kuwa na sifa za kijenzi.

II
Unapotaka kununua kompmyuta mpya au simu mpya ni vigezo gani unazingatia na kipi kina uzito kwanza kabla ya kingine ?????

  • Gharama-
  • Brand- Aina fulani tu ya ifaa unachotaka unachtaa eg Nokia, Toyota
  • Features na specification
  • Ushauri wa watumiaji waliotanguli na Uzoefu wao
  • Mvuto
  • etc
III
kati ya windows na Ubuntu nitumie OS gani?

  • Ni software gani unataka kutumia
  • Gharama
  • Uzoefu

Nimetoa mifano ya mitatu( Mitambo, Hardware Software) lakini ipo mingi na hata vigezo vya kuzingatia vipo vingi na vinaweza kutofautiana .

Mifafano mingine ya njia au nyezo za kitaalam zinazoweza kumsaidi mtu kufanya maamuzi sahihi ya kununua a kifaa model inaitwa ROI( Return on Investment) , Total Cost of Ownership ( TCO) etc.

Ujumbe

Tunaweza kufanya maamuzi sahihi ikiwa tutapata taarifa sahihi na za kitaalam . Katika karne hii hatutakiwi kujutia maamuzi ya kununua kifaa fulani au kuingia mkataba na amuni fulani hewa wakati uwezo na vyanzo vya kupata taarifa kabla ya upo . tena bila gharama kubwa.


Je Wht is the best evalution Model for technical gadget and electronic equimepment

Nawasilisha wa mjadala
 
Back
Top Bottom