Tathmini baada ya miezi mitano ya utabiri

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
ONYO:
Kabla hujaanza kusoma hapa naomba usisadiki chochote hata kama kitatokea kweli:A S-frusty:


  • HABARI ZA KUKAMATWA NA KUFUNGULIWA KESI WANASIASA MAARUFU ZITASIKIKA SANA KUANZIA KABLA YA KRISMASI 2010 HADI JUNI 2012. PIA DALILI ZA VURUGU ZA HAPA NA PALE ZINAONEKANA KUJITOKEZA ZIKIAMBATANA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.
  • NJAA ITALIKABILI TAIFA HILI NDANI YA MIAKA 2 IJAYO, KWANI INAONESHA WAKULIMA WENGI WATAHAMIA KWENYE SIASA HUKU WANASIASA WAKIWA WAKULIMA!!
  • BENKI MAARUFU MOJA AU MBILI, TATU ZITAFILISIKA, KWANI HALI YA UCHUMI ITAKUWA MBAYA SANA KIPINDI CHA MIAKA MINNE IJAYO.
  • MNAMO 2014 MWEZI JULY KUTATOKEA ELNINO KWENYE CHAMA KIMOJA CHA KISIASA HALI ITAKAYOSABABISHA TETEMEKO KUU, HATA KUPELEKEA CHAMA HICHO KUSAMBARATIKA, HUKU IKIPATIKANA ACADEMIA NA CHIPOLOPOLO.
  • NDANI YA KIPINDI HIKI KUNA WANASIASA WATAAMUA KUWA WAKIMBIZI WA KISIASA UGHAIBUNI, NA VIJANA WALIOJILIPUA WATATAKA KUPATA SABABU YA KUBAKI HUKO KWA HISANI YA UNHCR!!!!
  • WALIO MADARAKANI WATATAKA KUBAKI MADARAKANI IWE IWAVYO, NA WALIO NJE YA MADARAKA WATAYATAKA KWA HALI NA MALI HALI HII ITAJITOKEZA MNAMO MWAKA 2015 MARCH NA KUENDELEA, LUGHA ZA KEJELI NA MATUSI ITAKUWA NDIO WAKATI WAKE.
  • TUTARAJIE MATUSI NA NGUMI KATIKA BUNGE LIJALO, HAPATAKUWEMO UVUMILIVU HATA CHEMBE...
  • NA KATIKA KIPINDI HICHI MNAJIMU MAARUFU HATOKUWAPO KUTABIRI TENA KWA MAANA..................................................
Hayo ndio maono yangu. niliposoma alama za nyakati...:thinking:

...hata mwaka mmoja haujapita!!! Tunapaswa kukua, tunapaswa kujua.... bado mengi na makubwa zaidi yanakuja...

Wadau je yameshatokea au bado?
 
Mtabiri maarufu hatokuwepo!sasa ulijua kuwa atakufa?au uliongea na kitengo wakakwambia kuwa atakufa????HEBU TABIRI KUHUSU JPM TUNAE HADI LINI MADARAKANI?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom