TATA bovu for sale

Bebeku

Member
Aug 7, 2009
28
0
Nauza TATA min buss bovu, linawafaa zaidi wanaofanya biashara ya kuuza spare za magari, maana lilipata ajali. Pia hata kwa anaweza kulinyoosha linaweza kumfaa pia maana injini ipo safi sana na ina nguvu na puling nzuri.

Mteja ani PM
 
Back
Top Bottom