Taswira ya taifa katika mchoro...atayefata sijui itakuwaje.

golwebo_mkuu

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
2,271
688
BONGO.jpg
bado sipati picha awamu ya tano itakuwaje.
 
attachment.php
huko tuendako ni nafuuu kama tukizicheza karata zetu vizuri vinginevyo itafika wakati utatamani kuwa kana watoto wako ilikukwepa majukumu....
 
Kudos to the fringe freedom of press we have. Madongo kuinama kwingine Afrika huwezi kuchora katuni kama hii.
 
Teh teh teh Tanzania bwana,awamu ijayo nnaona jamaa atakuwa amekimeza tumboni kabisa
 
Ila nimeipenda sana hii freedom ya Tz. Nchi nyinge haya hugusi. Thanks kwa mleta kikatuni. very good.
 
Nikiangalia katuni hii ninaona kana kwamba kiatu namba moja na kiatu namba tatu vimewekewa fremu, na vilevle kuna mngáo juu katika rangi ya maji ya bahari, ina nipa utata kidogo, je ina maana namba moja na namba tatu kuna kurandana ! na namba mbili na namba nne kuna kufanana ! au mchoraji aliamua tu kufanya namba moja itofautiane na namba mbili, na kwa utaratibu huo huo iwe kwa namba tau na namba nne ? mhn, nadhani mchoraji ana kusudia kutueleza mengi zaidi katika mchoro huu kuliko wengi wetu tunavyo fikiria, Big Up rafiki kwangu mimi message nimeipata kiuhakika, thank you !!
 
Upo makini sana mkuu, ni kweli awamu ya JK inafanana sana na Ruksa hali kadhalika Kifimbo na Mzee wa Uwazi n ukweli.
 
Kwel mkubwa kuna kitu cha ziada mchora katuni amemaanisha katika hizo picha zilzo na fremu na zile zisizo fremu. Hiyo ndio kazi ya FASIHI.
 
Back
Top Bottom