taswira katika taifa!

Rugas

JF-Expert Member
Jan 8, 2009
1,048
196
hm4b50548f3090b.jpg

Huku ni kigoma...

Hawa nao ni watoto wa walipakodi,na sehemu ya kodi hizo ndo imetumika kujenga nyumba ya gavana,.......shame upon CCM
 
DECEMBER9 mwaka huu tutasherehekea miaka 50 ya UHURU! subirini muone hizo mbwembwe na majigambo ya CHAMA TAWALA kwamba tumepiga hatua kubwa kimaendeleo!
Yaani wimbo ni UTULIVU NA AMANI kila kukicha!
WE NEED MABADILIKO SASA!
 
hm4b50548f3090b.jpg

Huku ni kigoma...

Hawa nao ni watoto wa walipakodi,na sehemu ya kodi hizo ndo imetumika kujenga nyumba ya gavana,.......shame upon CCM

Ukiwauliza watakwambia Kigoma haichangii chochote katika pato la taifa. Mhhh!
 
Back
Top Bottom