tasa

Status
Not open for further replies.

njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,366
5,501
hodi hapa ! njiwamimi nina suali (swali)

hivi ikatokea mke wangu ni TASA ! na MIMI ni mzima JE tufanye nini..?
tuachane! ?? na mimi na penda sana nije pata makinda kama wa nne?
ni swali linaniumiza kichwa miaka nenda rudi..
kuzaa nje ya ndoa! sitothubutu....:confused:
 
Mcheki Madonna au Angelina Jolie wakupe nasaha.
 
hodi hapa ! njiwamimi nina suali (swali)

hivi ikatokea mke wangu ni TASA ! na MIMI ni mzima JE tufanye nini..?
tuachane! ?? na mimi na penda sana nije pata makinda kama wa nne?
ni swali linaniumiza kichwa miaka nenda rudi..
kuzaa nje ya ndoa! sitothubutu....:confused:

...Ewe njiwa, mshauri mkeo uoe mke mwingine, huenda huko ukajaaliwa watoto.
 
hodi hapa ! njiwamimi nina suali (swali)

hivi ikatokea mke wangu ni TASA ! na MIMI ni mzima JE tufanye nini..?
tuachane! ?? na mimi na penda sana nije pata makinda kama wa nne?
ni swali linaniumiza kichwa miaka nenda rudi..
kuzaa nje ya ndoa! sitothubutu....:confused:

kwa nini linakuumiza kichwa? au limeshakutokea? naona hapo kwenye intro yako inaonekana ni kitu cha kufikirika tu, wakati conclusion inaonyesha kama lilishakukumba!
haina haja ya kujiandaa, uta-solve ikishafika muda imetokea hivyo; kwani there are a lot of possibilities and solutions.
1) (kama mna hela) mnafanya in vitro fertilization
au
2) unaoa mke mwingine
au
3) mna-adopt watoto
au
4) mnakaa bila watoto (mnatakiwa ku-share furaha na huzuni sio)
au
5) (ubadili msimamo) upate mtoto wa nje ya ndoa

Swali ni kuwa je, kama wewe ni TASA na mkeo ni mzima na anataka ma-kids wawili tu, utafanyaje?
 
Fanya adoption mzee, watoto wengi sana wanahitaji familia.
 
nafkiri solution nimeipata.. kama mimi ni tasa na mke anataka ma kids wawili tu.. sintokuwa na cha kufanya aamue atakalo .. wewe ungefanyaje put ur self in those shoes..
 
Kama wewe ni tasa fanya artificial insemination, mnaweza mkafanya hata wenyewe ila mpate donor sperm au adopt.
 
Swali ni kuwa je, kama wewe ni TASA na mkeo ni mzima na anataka ma-kids wawili tu, utafanyaje?

Namwambia wife azae na bro au mdogo wangu awashawishi mi najifanya sijui ili tuendeleze ukoo mle mle...akitoka nje noma na anakuwa amejifukuzisha mwenyewe.
 
Namwambia wife azae na bro au mdogo wangu awashawishi mi najifanya sijui ili tuendeleze ukoo mle mle...akitoka nje noma na wanakuwa amejifukuzisha mwenyee.

hata kwa huyo ndugu yako tayari ni nje, mie nadhani ni swala la kueleweshana/kuongea pamoja mpate muafaka, ningemshauri nitoke kwa mtu baki kuliko kwa ndugu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom