Tarime kuna tatizo na tatizo si CHADEMA, ni Barrick

It is the time for CCM Government act ... How come they take our wealth our able bodied Men Our Land now Our Innocent Women? We must not believe imorality of human being and we cannot dispair of humanity as well

Two things are infinite: the universe and human stupidity; and I'm not sure about the universe.
 
Yaani ni kama hatuna serikali, kwani haiwezi kuwatimua hawa wawekezaji?
 
Tatizo liko kwenye serikali ya tanzania ambayo ndiyo yenye dhamana ya kuwalinda raia wake dhidi ya udhalimu wowote kutoka kwa dhalimu yeyote.
 
issue ni kuwa,why is barrick the one investigating the sexual assault claims? polisi wetu ni crooks kuliko hao wawekezaji! by the way walinzi ni weusi wenzetu mostly! nadhani watz tumelogwa jamani! tunahitaji maombi ya mlimani!
 
Aibu gani hii
Jeshi la Policy ambalo
linatakiwa kutulinda ndio
linaloogoza kwa matendo
mabovu na ya kinyama namna hii..
Kweli sijui tunaelekea wapi..
 
Tunafuatilia nani anatoa security na kulinda hii kampuni Tanzania. Tusubiri inform zinakuja kwa watanzania pia revenues za hii kampuni zinaonekana kufichwa na zikilipwa zinaishia kwenye bajeti za ccm. We are working on this story.

Coming in JF near your PC and cellphones
 
Barrick Gold is a shameless business involved inb destroying the environment and the people.

Time to demand accountability. Barrick has been in Tanzania for many years and there are many reports of human rights abuse and murder. Peter Monk is in a spiritual mess.

He is abusing power, resources and destroying people's livelihood... What world are we creating?

Mining is such a misunderstoond industry. People love to hate miners, especially when they are big like Barrick. There is an ecosystem of activists who survive by bashing miners. Mining projects, large and small, attract activists the way cow dung attracts flies. If they are not bashing a large miner for purported rape (imagine!), then they are attacking artisanal mining projects for child labour and poor working conditions.

You should be carefull when reading articles from activists.

I feel sorry for Barrick in Tanzania. Their ventures are providing so much opportunity to people (employment), businesses (supply of goods and services) and government (taxes and social development), but Tanzanians just do not seem to see this. Instead, we make a lot of fuss about ownership of the mine, about amount of aid given to the municipal politicians, about the size of the royalty etc.

And in case our point is not clear enough, we go and burn their excavators, invade their mines and accuse them of all sorts of unfounded allegations.

Sometimes I suspect Barrick had to restructure and carve out their Tanzanian operations into the so called "Barrick Africa" so that the rest of the Barrick Group does not get tainted by Tanzania's negative reception of large foreign investments. The horror stories coming out of here are bound to agitate investors at the bourses in which Barrick is traded - better have an Africa version! This sends a very bad message to any serious investor. It puts Tanzania at a disadvantage when an investor is conteplating a project that could employ 4,000 direct FTE's in either Tanzania or, say, Kenya. And you can, most deffinately, and permanently, kiss goodbye any prospect of Toyota putting up an assembly plant in Tanzania.

At this rate, there is no way we will, ever, catch up with the Asian Tigers.
 
Something big if not extra big is hidden behind Barrick's North Mara project.
Still we are waiting for more.
 
looks like you've already made up your mind!
 
Source: Gazeti la Mwananchi, Juni 1, 2011

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha, amesema mauaji ya raia yaliyotokea mgodi wa North Mara, Wilaya ya Tarime, mkoani Mara, yamesababishwa na ahadi za uongo zinazotolewa na wawekezaji kwa wananchi. Akizungumza kwenye kipindi cha maswali na majibu cha dakika 45, kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha ITV juzi, Nahodha alisema tayari amefanya mazungumzo na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, ili kulifanyia kazi suala hilo.

Nahodha alisema makubaliano yake na Ngeleja, ni kutafuta muda wa kwenda kwenye mgodi huo ndani ya wiki mbili zijazo, kwa lengo la kuhakikisha kunakuwapo hali ya utulivu, ikiwamo wawekezaji kutekeleza ahadi walizotoa kwa wananchi hao.
”Kitendo hicho kinawezekana kimetokea kutokana na huduma za jamii kuwa ndogo kwenye eneo lile, kwa hiyo wawekezaji wanatoa ahadi kuwasaidia wananchi, lakini hazitekelezwi,” alisema Nahodha na kuongeza: ”Vijana waishio maeneo yale wanaona wawekezaji wananufaika wenyewe na wao kubakia maskini.” Kuhusu vitendo vya mauaji nchini yanayofanywa na polisi, Nahodha alisema Tanzania upo utamaduni wa kila mmoja anataka kujichukulia sheria mkononi, hali ambayo siyo nzuri.

Alishauri iwapo raia anahisi hajatendewa haki, kufuata ngazi nyingine kama Tume ya Haki za Binadamu, wabunge na mahakama ambavyo viko kwa ajili ya kuisaidia jamii.

“Kwa kweli kila mtu akijichukulia sheria mkononi hakutakuwa na amani katika nchi. Katika sheria ya nchi sura ya 322, Polisi amepewa mamlaka ya kumlinda raia na mali yake, lakini akikusimamisha ukaweka mkono mfukoni anachukua roho yako,” alisema. Kuhusu wimbi la kukamatwa kwa wabunge nchini, Nahodha alisema kinga za wabunge ziko wakati anapotekeleza wajibu wake na kwamba, hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria.
 
Angalau umetoa mwanga wa nani tumlaumu kwa upande mmoja ila umesahau kuwa serikali ilipaswa kufuatilia kwa karibu kuiona kama wawekezaji wanatekeleza mikataba yao.
 
"Ni bora pesa inayopatikana kidogokidogo kwa muda mrefu kuliko Pesa inayopatikana kwa wingi mara moja "
 
Very shocking kwa hii taarifa. Najitahidi kuamini kwamba hii inatokea Tanzania
 
Polisi amepewa mamlaka ya kumlinda raia na mali yake, lakini akikusimamisha ukaweka mkono mfukoni anachukua roho yako,” alisema.

Hapo imekaaje?....hiyo ruhusa ya polisi kuua raia wamepata kibali kwa ruhusa gani?..sbb wengi wa wanouawa siku hizi ni raia wasio na silaha
 
  1. Mbunge wa CCM alisema chanzo ni SIASA
  2. Polisi-Wananchi walikuwa wameenda kuiba dhahabu
  3. CDM wao wanasema ni mgogoro wa muda mrefu
Inawezekana kuna mtu mwenye ukweli wa hili, atufahamishe.
 
Huyu mpemba sijui mzenji pumbafu tu na anaonyesha ni jinsi gani alivyo na uelewa mdogo maana kama anasema wawekezaji wanatoa ahadi za uongo kwa wananchi sheria inasemaje juu ya hilo?sasa amtume ngeleja waziri kama yeye ili iweje?yaani ccm vilaza watupu ndo wamejaa humo.
 
“............. Katika sheria ya nchi sura ya 322, Polisi amepewa mamlaka ya kumlinda raia na mali yake, lakini akikusimamisha ukaweka mkono mfukoni anachukua roho yako,” alisema.

Wale wa Nyamongo hawakuweka mikono mfukoni, walikuwa wanankimbia lakini bado polisi wamechukua roho zao!!

Hii sheria ni kichekesho kweli kweli. Nadhani itafika mahali na wananchi wataanza kujichukulia sheria mkononi kujilinda na udhalimu wa polisi, na hapo ndipo hali itakapowalazimu viongozi kuipitia upya sheria hiyo na kuhakikisha polisi wanawalinda wananchi na mali zao badala ya kugeuka kuwa chinja chinja.
 
It is the time for CCM Government act ... How come they take our wealth our able bodied Men Our Land now Our Innocent Women? We must not believe imorality of human being and we cannot dispair of humanity as well

Two things are infinite: the universe and human stupidity; and I'm not sure about the universe.

Blow to Barrick? No, but a good lesson.
But then if we had a smarter CCM, we could create more wealth for our people through BARRICK. BARRICK alone brought major growth in mining investments in our lovely impoverished TZ such that instead of blaming BARRIC we should work to engage it. It even may be easier working with BARRICK than TZ Government or POLICE on KUBAKA( rape) issues. You wouldn't tell the great advantages of BARRICK being there in TZ unless it is gone - if CCM can not real get more from BARRICK for our people, really that's not Barrick's issue but rather CCM's incompetance.
Fisadi CCM government should know BARRICK or any other can't throw away money to FISADI TZ (as created by CCM) unless CCM truely WAVUE GAMBA LOTE and start working shrewdly to get THAT MONEY for our people and the country in general.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom