Tarehe ya Mazishi Ya Zenawi Yajulikana.

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia, mar. Meles Zenawi atazikwa tarehe 02 Sept 2012, limeripori shirika la habari la AFP.
source DW.
 
vIPI RAISI WA tANZANIA KASHAFIKA HUKO eTHIOPIA MAANA MAZISHI BILA KIKWETE HAWEZEKANI....
 
kama kawa mzee wangu wa msoga yaani hapo tayari kucha zinakuwasha kwenda Ethiopia ..hahaa hapo utasema alikuwa rafiki yako kweli na umepoteza mtu wako wa karibu ..hahaaaa
 
[
QUOTE=Crashwise;4487207]vIPI RAISI WA tANZANIA KASHAFIKA HUKO eTHIOPIA MAANA MAZISHI BILA KIKWETE HAWEZEKANI....[/QUOTE]

ahaaaa!! Umenifanya nicheke
 
Aiseeee baba yangu hapa hatasema alikuwa kiungo muhimu katika maswala ya diplomasia

ngoja nipate mbege
 
Ndege yetu inajazwa mafuta, form za periderm na sitting zishasainiwa na balozi sefue taarifa kwa safari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom