Magandaigobeko:Baloney!
Utatukana sana dada, hii naona kisu kimegusa mfupa sasa. Ukweli unauma sana Sister
Magandaigobeko:Baloney!
Maandamano nchi nzima ndio yameanza mkoa mpaka mkoa, wilaya kwa wilaya, jimbo kwa jimbo. mwisho tukijumlisha itakuwa imekidhi nchi zima!
HAYA NINAYOULIZIA HAPA NI KAMA YA MISRI NA TUNISIA. Yale ya nchi nzima ambayo watu hawaondoki mpaka waone mabadiliko.
vichwa vingine ni vigumu mkuu.
Magandaigobeko:
Utatukana sana dada, hii naona kisu kimegusa mfupa sasa. Ukweli unauma sana Sister
Kuna aliekua bichwa ngumu kama Hosni Mubarak? Yupo wapi sasa?! Husikate tamaa mkuu. To dare is what we need now.
msione kirahisi namna hiyo. Maandamano ni kitu kingine kabisa. Kwa sababu mtakuwa mmejunja katiba ya inchi kwahiyo mkiona wanajeshi wanawafyatulia risasi muone kawaida. Kuigeza inchi tz kuwa kama somalia,kwa sababu mnaweza kuongeza shida zaidi ya tulizonazo,tuanze maandamano halafu gala la siraha lifunguliwe kila mtu awe bunduki yake tuone kama kuna mtu atabaki
Tunakosea sana tunapodhani kwamba maandamano ndiyo "formula",, si kweli. Kila nchi iko tofauti kwa mambo mengi sana. Utaona kwamba Libya hali bado ni tete kulinganisha na ilivyokuwa Egypt ambapo polisi ama jeshi lilikuwa upande wa Raia. Sasa muungwana aliyeanzisha hii post ana point nzuri sana kwamba ni vyema kupima kabla hamjajichuuza. Polisi watakuwa nanyi? Mko tayari kula bakora kisawasawa na kuendelea mbele? Maana msijekuwa mnaongea tu, halafu kalinyekalinye likianza wengi wanakimbia wanabaki wachache ambao sheria itawaweka pabaya sana. Wajuaji ni wengi sana humu na ninapata mashaka makubwa sana kama kweli hawa nao eti ni Great thinkers kama akina Magandaiboreko
Magandaigobeko:
Utatukana sana dada, hii naona kisu kimegusa mfupa sasa. Ukweli unauma sana Sister
Tunakosea sana tunapodhani kwamba maandamano ndiyo "formula",, si kweli. Kila nchi iko tofauti kwa mambo mengi sana. Utaona kwamba Libya hali bado ni tete kulinganisha na ilivyokuwa Egypt ambapo polisi ama jeshi lilikuwa upande wa Raia. Sasa muungwana aliyeanzisha hii post ana point nzuri sana kwamba ni vyema kupima kabla hamjajichuuza. Polisi watakuwa nanyi? Mko tayari kula bakora kisawasawa na kuendelea mbele? Maana msijekuwa mnaongea tu, halafu kalinyekalinye likianza wengi wanakimbia wanabaki wachache ambao sheria itawaweka pabaya sana. Wajuaji ni wengi sana humu na ninapata mashaka makubwa sana kama kweli hawa nao eti ni Great thinkers kama akina Magandaiboreko
tupewe tarehe,tuingie barabarani,,,,tumeshachoka
point sio kuandamana tu kama siafu, tunatakiwa tujue tunachokitaka kwanza na tuandamane kama wananchi na wala sio kama chama, mkijifanya mnaandamana kama chadema tu tutakuwa tunasumbua mahakama tu wakati hukumu iko palepale,so wat to do? Wananchi wote wakiunganika/wakiunganishwa na mimi nitaingia street.halafu tujuane kabisa wangapi tuko tayari kufa? Na ukidedi utaenda wapi? Sio hujatubu midhambi yako halafu unaenda kuandamana, shaba ikikupata ya kichwa sjui utatubu sa ngapi,
tunatakiwa tujue tunachokitaka kwanza na tuandamane kama wananchi na wala sio kama chama. Wananchi wote wakiunganika/wakiunganishwa na mimi nitaingia street