Tarehe ya kihistoria

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Kufuatia vuta nikuvute baina ya serikali na madaktari juu ya kuboresha maslahi na mazingira bora ya kufanyia kazi, madaktari waliipa 'ultmutum' serikali kushughulikia madai yao. Ultmutum hiyo iliyoishia jana kwamba kwakuwa madai mengi ya madaktari hayakufanyiwa kazi, na kama kawaida yake Pm Pinda akatumia Jazba badala ya busara kuwajibu madaktari eti serikali haiwezi kushinikizwa kuwafukuza ka waziri na naibu wake, Je kama madaktari wataamua kugoma bila kikomo nini utakuwa wajibu/ jukumu letu kama watanzania wazalendo. Karibuni.
 
Fuga sana kuku na njiwa weupe tayari kwa safari za bagamoyo kwa babu kila ukiugua. Wafagia barabra kila asubuhi wahini njia panda zote kwani sasa nazi na mayai viza vitachafua sana barabara make ndo tiba zilizo salia bila mgomo.
 
Hii imetulia sana.
 
Back
Top Bottom