Tarehe ya interview UDOM

ansilakao

New Member
Nov 9, 2012
4
1
heshma zenu wanajf

hivi kuna mwenye taarifa kuhusu waletuliofanya interview terehe 2.11.2012??
 
sasa si afadhali wewe ulifanya interview mkuu, wenzio bado hatuna habari kama tutaitwa kwenye hiyo interview mpaka sasa. kesho itatimia miezi miwili kamili since deadline ya application
 
dah ndugu yangu.....mbona mapema
anyway huwezi jua lakini may b wengine washautwa baada ya ile oral interview ya siku tajwa hapo juu lakini tusubirie wanajf wengine wanasemaje mana hii nchi ishauzwa ......
 
dah hii ni dhoroba hamna cha short list kwa walichukua tu wote hebu check
assistant account 624
office attendant 220
system administrator 234
human resources manager 712
warden 626
assistant internal auditor 284
planning officers 228
sipati picha dodoma itafurika vipi
bt all in all would like to wish those whom have bn shortlisted best of their luck......
 
Heshima kwenu wanajf, udom wametoa majina ya interview admstv post, naomba kujua ni tarehe ngapi? nawasilisha.
 
dah hii ni dhoroba hamna cha short list kwa walichukua tu wote hebu check
assistant account 624
office attendant 220
system administrator 234
human resources manager 712
warden 626
assistant internal auditor 284
planning officers 228
sipati picha dodoma itafurika vipi
bt all in all would like to wish those whom have bn shortlisted best of their luck......

interview ni lini?
 
nauliza hizi chance za udom, mbona wale walioomba tutorial assistant vp? mbona majina yao hayakutoka? au ndo mwendo wa batch?
 
wewe tumekuchagua tayari, tutakujulisha very soon!..tena una bahati tumekuchagua peke yako umekosa wapinzani!
 
hii ni dhoroba ansilakao ckeck hii
wanahitaji human resources officer 15 applicants 712
wanahitaji planning officer 4 #of applicants 224
warden wanahitaji 15 # of applicants 626
assistant acciunt wanahitaji 17 # applicants 334
 
yeap kaka naona wanaita kwa awamu ..wakiita wote na dodoma ilivyo na huduma ndogo ya malazi wengine tunaweza lala stend na kufanya nauli kufika 30000....
let keep on wait while we r doin other stuffs coz bng shortlisted doesnt gurrante u wll b selected!!!!!!
 
Weka link ya udom tafadhali...sie wengine tnatumia simu

Hakuna link kaka. Website ya UDOM iko down kwa matengenezo. Wameacha link chache ambazo ziko active, ikiwemo hii inayoonesha majina ya walioitwa kwenye usaili. Ukiingia kwenye website ya udom (The University of Dodoma) utakuta hiyo link, uki iclick hiyo inafungua excel file moja kwa moja. Niliwahi kusema nilichokiona UDOM kipindi cha applications, na nilichosema ndo kimetokea. UDOM ni kama wameita wote walioomba nafasi hizo kwenye usaili. Idadi ni kubwa sana.
 
hii ni dhoroba ansilakao ckeck hii
wanahitaji human resources officer 15 applicants 712
wanahitaji planning officer 4 #of applicants 224
warden wanahitaji 15 # of applicants 626
assistant acciunt wanahitaji 17 # applicants 334

Ebwana eeeh, hivi siku hizi ule msamiati wa kushortlist applicants kwaajili ya interview kwenye maswala ya ajira haupo tena? Nimeuliza hili maana ajira nyingi za serikalini siku hizi hawafanyi shortlisting tena bali wanalonglist na kumwachia applicant mmoja mmoja kazi ya kujishoertlist mwenyewe baada ya kuangalia na kutafakari cost and benefits za kuhudhuria hiyo interview.
 
Tukishortlist mnatwambia tumeweka watoto wetu na ndugu zetu, Njoo uoneshe uwezo wako na bado tutaajili watoto wetu tu
 
Back
Top Bottom