Tarehe mpya za usaili sekretarieti ya ajira

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]Wale wahusika wa hii mambo wapitie pande za tangazo hili

MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI
[/FONT] Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatarifu waombaji kazi kuwa tarehe za usaili zimebadilika kutokana na mabadiliko ya tarehe ya sikukuu ya Eid el Hadjj.
[h=4][/h][h=4]Aidha, ukaguzi wa vyeti utaanza saa 1:00 hadi 1:45 asubuhi siku ya mtihani wa mchujo. Hivyo usaili utafanyika kama ifuatayo: 1. Usaili wa Mchujo kwa mikoa ya MOROGORO, MANYARA, PWANI, ARUSHA, KILIMANJARO na TANGA utafanyika tarehe 29/10/2012. 2. Usaili wa Mahojiano kwa mikoa ya MOROGORO, MANYARA, PWANI, ARUSHA, KILIMANJARO na TANGA utafanyika tarehe 30/10/2012. 3. Usaili wa Mchujo kwa mkoa wa DAR ES SALAAM utafanyika tarehe 27/10/2012 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) - CHANG’OMBE 4. Usaili wa Mahojiano kwa mkoa wa DAR ES SALAAM utafanyika tarehe zilizopangwa awali (01/11/2012 na 02/11/2012) na utafanyika katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira zilizoko Maktaba ya Taifa barabara ya Bibi Titi Mohamed Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
[/h]
 
Tunashukuru mkuu walioitwa kazi kwao, wenzangu na mimi tuendelee kuomba Mungu ipo siku nasi tutaitwa.
 
Wale wahusika wa hii mambo wapitie pande za tangazo hili

MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatarifu waombaji kazi kuwa tarehe za usaili zimebadilika kutokana na mabadiliko ya tarehe ya sikukuu ya Eid el Hadjj.
Aidha, ukaguzi wa vyeti utaanza saa 1:00 hadi 1:45 asubuhi siku ya mtihani wa mchujo. Hivyo usaili utafanyika kama ifuatayo: 1. Usaili wa Mchujo kwa mikoa ya MOROGORO, MANYARA, PWANI, ARUSHA, KILIMANJARO na TANGA utafanyika tarehe 29/10/2012. 2. Usaili wa Mahojiano kwa mikoa ya MOROGORO, MANYARA, PWANI, ARUSHA, KILIMANJARO na TANGA utafanyika tarehe 30/10/2012. 3. Usaili wa Mchujo kwa mkoa wa DAR ES SALAAM utafanyika tarehe 27/10/2012 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) - CHANG'OMBE 4. Usaili wa Mahojiano kwa mkoa wa DAR ES SALAAM utafanyika tarehe zilizopangwa awali (01/11/2012 na 02/11/2012) na utafanyika katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira zilizoko Maktaba ya Taifa barabara ya Bibi Titi Mohamed Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Unaweza kupost majina ya walioitwa,na zilikuwa nafasi za kzi gani?
 
ninashukuru sana mkuu kwa kunijuza ila kwa wale wenzangu na mie majina yako kwenye tovuti yao ambayo ni www.ajira.go.tz na wanaanza usaili wa mchujo jumamosi tarehe 27/10/2012 na wametoa majina kwa dar es salaam pekeyake ni zaidi ya watu 2000 acha wa mikoani, na ninasikia wataendelea kutangaza watu wanaoitwa kwenye usaili ila kwa awamu naona wameanza na kada za chini yaani assistant officers. hivyo kwa wale waliokuwa wameomba kada nyinginezo nimesikia tuendelee kusubiri watazitangaza karibuni baada ya kumaliza kuwasaili hawa, haya maelezo nimeyapata baada ya kufuatilia huko kwa watumishi wao. niwatakie kila lakheri walioshaitwa kwenye usaili. Mungu awatangulie.
 
Back
Top Bottom