Tarehe 33 july na bado serikali haijatoa mishahara. (Zilongwa mbali, zitendwa mbali)

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
394
88
Serikali ya kikwete inachoongea na kutenda ni vitu viwili tofauti yee mwenyewe jana kaongea kizaramo kuthibitisha hilo kwani mpaka leo tarehe 2 august salary bado kwa watumishi wake japo alisema haitazidi tarehe23 leo ni 10days ahead of his own promise. Wadanganyika kweli tupo?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ameshaomba NSSF/PPF wamkopeshe!!anasubiri apewe ndio alipe mishahara
 
Kinywa chake huwa kinatiririsha asali! Kila asemalo, aaaaaaaaaaaaaa watu wanaingia line.
 
Serikali ya kikwete inachoongea na kutenda ni vitu viwili tofauti yee mwenyewe jana kaongea kizaramo kuthibitisha hilo kwani mpaka leo tarehe 2 august salary bado kwa watumishi wake japo alisema haitazidi tarehe23 leo ni 10days ahead of his own promise. Wadanganyika kweli tupo?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mkuu mpwapwa hawajambo?
 
Ni nani amewapa ruhusa ya kujadili ishu ambayo iko mahakamani? Iiachieni mahakama msiingilie pls!
 
Yaani mkuu kwa mchongo wa julai 2012 kuchelewa kumenitia hasira sana hadi nimeamua kuachana nao kabisa hata wakiutoa.Kama unabisha waambie basi wautoe sasaiv uone kama nitaenda kuuchukua.Siendi ng'o!
 
Back
Top Bottom