Tarehe 26/11/11....yoo

Eti Dj Zero vs Dj JD!! huyo sifuri aliyefundishwa kazi na Majizo! Zero anajua kutumia turn table? Atakimbilia kwenye zile zile American Kit! Sifuri kabisa!

mkuu JD legend ila hata huyo MAJIZO mweupe tu hana kitu vitasa vingi ndo wasiojua deejaying anapowatisha!ZERO ndo uchafu si tu hajui kuchezea turntable bale hata kumfanya mtu aendelee kuruka anashindwa!
 
Dj jD ni old fashion ..Zero ni new generation..Kwa bahati nzuri nmehudhuria show nyingi Jd (club) na redion nimemsikilza sana Yan umlete sas hv umshndanshe na Zero?lzma atapotea huyu jamaa anaturushaga sana maisha club na hapo XXL ndo ucpme yoo..

inaelekea unapenda ubrazameni ila nyenzo huna!!!!maisha club sijui XXL mwenyewe ndo unaona umeongea!!ushauri mmoja mdogo wangu mimi nataka uwakimbize vijana wenzako hapa mjini!ntakupa pamba za ukweli na manukato toka mbele,usafiri ila siyo wotewote kwa muda!nakuPM namba zangu za simu unitafute nakupromise hutosikia maumivu ntatumia KY halafu sitowatangazia watu!hayo maisha unayoyatamani utayapata tu!si unaona B12 anavyopendeza siku hizi.......tofauti na alivyokuwa IFM
 
Mi hata sielewi mnachoongea hapa. nnachokumbuka wadada wa promotion ya sigara ya iceberg walichukua contact zangu wakaniambia watanipigia simu nikajumuike nao kwenye str8 music, ndo nawasubiria mpaka sasa kimya
 
watu wote ni ustawi tu big sound big stage then mnatuchafua kwa kuleta itkadi za siasa wafu fm ndo tunawazika
 
unashobokea michongo ya mwanaume mwenzako????
hakuna sweet music ww acha ushamba, ni str8 Music, we umekuja mjini jana nn?
DMX anaimba kiingereza na kuwatukana bado mnaenda kumshangilia kwa malipo ya bei mbaya huo si ulimbukeni?

Washamba utawajua tu..hivi hujui kuwa str8 music ipo sambamba na kampuni ya TCC?inayotengeneza Sigara za SM(Sweet Menthol)..Mimi nafanya biashara na hawa jamaa sisi kama sisi wahusika tunaiitaga Sweet music,kama hujui uliza kilaza wee yoo...
 
inaelekea unapenda ubrazameni ila nyenzo huna!!!!maisha club sijui XXL mwenyewe ndo unaona umeongea!!ushauri mmoja mdogo wangu mimi nataka uwakimbize vijana wenzako hapa mjini!ntakupa pamba za ukweli na manukato toka mbele,usafiri ila siyo wotewote kwa muda!nakuPM namba zangu za simu unitafute nakupromise hutosikia maumivu ntatumia KY halafu sitowatangazia watu!hayo maisha unayoyatamani utayapata tu!si unaona B12 anavyopendeza siku hizi.......tofauti na alivyokuwa IFM

Unataka ukutane na mimi!khaa ili unijue?khaa ukinijua mimi ni nani utaniganda...masharo'uharo' utawajua tu..Inaelekea unapenda sana mauzo halafu watu hawakuiti muuza sura,ukaamua kujiita khaa..afu unaonekana unapenda sana kushobokea ma star!khaa mdananda yoo...
 
Itakuwa ni siku ya jumamosi ya wiki hii ambayo imesheheni mapambano mengi kama yafuatayo...
1.Sugu vs Ruge
2.Vinega vs T.H.T
3.Sayansi vs Leaders
4.Deiwaka ent vs Sweet music
5.Dj Jd vs Dj Zero
6.Business times vs Prime time promotion
7.Wahuni vs wastaarabu
8.Wasanii waliopotea vs wasanii wanaotamba
9.Times fm vs Clouds fm..
Na kiukweli times hawana uwezo mkubwa wa kuupromote muziki kama clouds,kwa kuwa redio yenyewe tu ukifika kibaha tu hapo chenga tofauti na clouds inasikika almost Tz nzima..
Bandugu tukutane Leaders tukaburudike na Dark Money X(DMX) na mtu mzima Fabolous (Losso)..huko ustawi wa jamii kutakuwa fujo na matusi tu..
We be killin em yoo...

kumbe wewe ni ruge karibu..
 
Unataka ukutane na mimi!khaa ili unijue?khaa ukinijua mimi ni nani utaniganda...masharo'uharo' utawajua tu..Inaelekea unapenda sana mauzo halafu watu hawakuiti muuza sura,ukaamua kujiita khaa..afu unaonekana unapenda sana kushobokea ma star!khaa mdananda yoo...

wewe ni jinsia ile wanaochuchumaa wakipunguza mafuta kweny tank eheee ,.yooo
 
Unataka ukutane na mimi!khaa ili unijue?khaa ukinijua mimi ni nani utaniganda...masharo'uharo' utawajua tu..Inaelekea unapenda sana mauzo halafu watu hawakuiti muuza sura,ukaamua kujiita khaa..afu unaonekana unapenda sana kushobokea ma star!khaa mdananda yoo...

naona unarudia maneno yangu niliyokuchana recently!dogo mimi na wewe hatufanani!usije ukajidanganya kama unaweza hata kutoa draw na mimi kimjinimjini,pesa wala status!...f.y.i mimi ni mkali wa wakali wako siyo bongo mpaka mbele!toa namba tukulee ndo zetu!KY tunatumia.....usizuge jamvini bahati ikakupita watu doo lipo kama vipi hata safari ya china tunakupa!
 
Itakuwa ni siku ya jumamosi ya wiki hii ambayo imesheheni mapambano mengi kama yafuatayo...
1.Sugu vs Ruge
2.Vinega vs T.H.T
3.Sayansi vs Leaders
4.Deiwaka ent vs Sweet music
5.Dj Jd vs Dj Zero
6.Business times vs Prime time promotion
7.Wahuni vs wastaarabu
8.Wasanii waliopotea vs wasanii wanaotamba
9.Times fm vs Clouds fm..
Na kiukweli times hawana uwezo mkubwa wa kuupromote muziki kama clouds,kwa kuwa redio yenyewe tu ukifika kibaha tu hapo chenga tofauti na clouds inasikika almost Tz nzima..
Bandugu tukutane Leaders tukaburudike na Dark Money X(DMX) na mtu mzima Fabolous (Losso)..huko ustawi wa jamii kutakuwa fujo na matusi tu..
We be killin em yoo...
Sio Dark Money X mngese wewe ni Dative Man X!! watakuwa wan kukameruni!!
 
kinondoni kwa mach..oko kumejaaliwa...alafu machoko wa kinondoni kwa kujihami hamjambo...
naona unarudia maneno yangu niliyokuchana recently!dogo mimi na wewe hatufanani!usije ukajidanganya kama unaweza hata kutoa draw na mimi kimjinimjini,pesa wala status!...f.y.i mimi ni mkali wa wakali wako siyo bongo mpaka mbele!toa namba tukulee ndo zetu!KY tunatumia.....usizuge jamvini bahati ikakupita watu doo lipo kama vipi hata safari ya china tunakupa!
 
:lol: Sugu ni Legend, Dj JD ni Legend Bongo as well, sipati picha i wish ningekuwa Dareeeeeeeeeeee lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom