Tarehe 10 Julai 2011 ni mwisho wa siku 90 za magamba!

jamani JF hawa watu lazima tufuatilie yale wayasemayo Mbali na magazeti nilimsikia akijitapa BBC kuwa hata kama ushahidi haupo ile harufu tu inatosha kuwatoa CCM kwani wamekifanya chama kudondoka na kupata 61%

hadi sasa amekaa kimyaa kama siyo mtoa taarifa za kikao chao NAPE tunahitaji kujua wapi umefikiia na MAFISADI WENU au tuamini kuwa waliwashinda mbele MSEKWA bado muda upo toa tu hizo barua mkinusuru CHAMA maana hali ni mbaya hamueleweki.
 
Back
Top Bottom