Tarehe 10/7/2011 ,Sijui itakuwaje kwa CCM

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
wakubwa hivi mnajua muda uliotolewa na CCM kwa mafisadi kwa wamejiandoa chamani ni 10/7/2011 na ikifika 11/7/2011 basi 'mafisadi' watatoswa.Leo ni karibu wiki tatu lakini hawajapewa barua.

Note:maazimio hayo yalitolewa April 10,2011 hivyo miezi mitatu ni 10/7/2011
Tusubiri
 
Utashangaa sana!
Siku chache zijazo watatoa kauli ya kunullify mambo ya magamba!...we huwajui hawa eeh?...unacheza na fedha wewe!
 
we unawaamin hao? Zlikua taarabu zle 2lzozoea toka kwao.
Nothng specifically ll hapen, kwnz mkuu wa kaya anawaogopa
 
Usiweke matumaini makubwa katika jambo hilo. Unapaswa tu kutumia ahadi nyingi zaidi ya mia moja, ambazo hazijawahi kutekelezwa zikusaidie kufahamu kwamba jambo hilo likitokea, la mafisadi kutemwa, tena kwa majina, huo utakuwa ni MUUJIZA wa Karne kwa siasa za Bongo. Uzuri watanzania wanafahamu, wamezoea haliwasumbui. Wanaosumbuka hupachikwa majina yote wanaukabila, wanaudini ni wahaini na waropokaji. Sijui kama utamaduni huu utabadilika hivi karibuni, wa kuchukia UKWELI na kuvumilia uwongo hata kama ni kwa gharama zetu watoa kodi zinazonenepesha fedha za umma.
 
Back
Top Bottom