Tarehe 1 April -siku ya wajinga

Juaangavu

JF-Expert Member
Nov 3, 2009
935
132
Jamani naomba msaada wa kuielewa historia ya siku hii ya trh 1 April; inayohitwa ya wajinga duniani. Nini hasa ilikuwa lengo la uanzishwaji wake. Nimesikia na kukutana na msg ambazo siyo tu za kushitua bali za kusikitisha kwa mwamvuli wa siku ya wajinga duniani.
Ebu fikiri mtu anakutumia msg kuwa mkeo/mmeo kagongwa na amepoteza maisha na amepelekwa hospitali fulani. Kisha baadaye anakujulishwa kuwa ni siku ya wajinga hivyo alikuwa anakutania.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom