Tarehe 04 mwezi wa saba mwaka huu siku ya mashahidi wa afya ya walalahoi

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Kama kweli mgomo unakuumiza na umeonea huruma wanao kufa na kuteseka serikali kuisubiri mahakama iamue basi sisi wananchi ndio vyote vitatu serikali bunge na mahakama. Tunaamua kuandamaana kuanzia ubungo mataa siku ya jumatano asubuhi na wenzetu walalahoi wa mikoani na wenye mapenzi mema mtuunge mkono. Kifo hakina subira na tuandamane tunaweza tunaweza na tunaweza Allah tusaidie Mungu Tusaidie wake watoto na wanaume na tujitokeze piga mbiu watu wanakufa tunakaa tu na tujitokeze
 
Sms kwa watu, shiriki maandamano tarehe 04.07 2012 kuwa shaidi wakudai huduma bora ya afya kwa wote njoo ubungo
 
Back
Top Bottom