Taratiiiibu…. Geuka Nyuma!!!

naona my to-do list imechafuka kwa edits, seems i am not a good planner or there is no need to plan here... coz i donest work

pia naona mjusi ukutani hapa ofisini

Habari wana JF….

Poleni na hongereni kwa saumu (kwa wafungaji…)

na pia mlolongo wa kazi na majukumu…

Back to topic… Hapo hapo ulipo keti/jiegesha/jilaza/simama/

jiachia or whatever… Please... Do me a favour and taratiiiibu

Geuka nyuma…. What do you see???…. Tafadhali tell us…

any thing’ Yaweza kua kimoja ama zaidi ya kitu kimoja…

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

Nkigeuka nyuma naona uji mezani,aaaah kumbe muda wj kufturu umefika,ngoja niende kWa jirani

naona my to-do list imechafuka kwa edits, seems i am not a good planner or there is no need to plan here... coz i donest work

pia naona mjusi ukutani hapa ofisini

Maisha yetu ya kiswahili... to do list ni moja tu ya njia ya kuorodhesha
ya kufuatilia whenever possible... for hatuishi in isolation, mara vifo, mgonjwa, dharura kibao....

namwona wife kesha chapa ucngz mi bado ni jf, lol ngoja nkapate joto.g9t

Back
Top Bottom