Taratibu za kuingiza gari nchini

gxrenny

New Member
Apr 17, 2010
3
0
Hello wanajamii! Naombeni kufahamishwa kuhusiana na taratibu na kanuni za kisheria za kuagiza gari nje ya nchi. Hii ni pamoja na jinsi ya kulitoa bandarini lini na ushuru unaotakikana kisha TRA hadi ninapo kuwa mmiliki halali.
 
Back
Top Bottom