Taratibu za kufuata ili kupata TIN Number

Mkuu nicheck nikusaidie tin na lesseni ya biashara ya Money Transer.
My no _ 0767074040
 
TIN NUMBER YA BIASHARA SIO BURE ACHENI KUDANGANYA WATU. why sio bure? Huwezi kupata TIN number (certificate) bila kulipa with holding tax. Ukifika TRA kuomba TIN ya biashara moja ya sharti ni kuleta mkataba wa pango la biashara, ukiwapa mkataba wanakupigia with holding tax, wanakwambia kalipe kwanza hiyo ndio utapata TIN, ile kodi ya makadirio sio lazima ulipe wakati huo. Huo ndio utaratibu. Kama hauna hiyo withholding tax pesa sahau TIN. Huo ndio utaratibu niliokutana nao wakati natafuta TIN
 
Mkuu ukifika tra utakutana na tangazo kwamba HUDUMA ZOTE ZA TRA NI BURE....IKIWEMO NA TIN.....EPUKA MAKANJANJA.

Mnamo tarehe tano sita mwez huu mimi mwenyewe nmekabidhiwa Tin baada ya kuifatilia kwa siku mbili...tena ilibidi niipate siku hiyohiyo bahati mbaya mtandao ulikuwa unasumbua ndio nkaambiwa nienda siku iliyofuate nikaichukue..
TIN NI BURE KABISA. ..sikulipia hata senti moja kwa lolote lile .....kama uliilipia TIN namba tena mwaka huu jua kwamba ulikutana na KANJANJA pole sana kwa kuliwa pesa ako .
Isikate tamaa kwa stori we kata mwendo mpaka TRA ukashuhudie mwenyewe..
 
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naulzia jinsi ya kupata Tin maana nilikuwa nina tin tayari nilopata wakati napata leseni ya udereva, sasa nimeenda TRA waibadili iwe ya biashara naambiwa nilipie kiasi kadhaa..
lipie kkwani wao ndo wanaojua kuna tin ya gari na tin ya biashara sasa kazi kwako kujipanga
 
Kwa mfano nataka TIN ili nianzishe biashara ya m-pesa au tigo pesa, kwa maana ili upate Till ya m-pesa ni lazima uwe na TIN
Swali: nitalipaje kodi kwanza kabla sijapata uhakika wa kuipata iyo Till au kabla ya kuanza biashara
 
Habarini ndugu,

Naomba msaada nataka TIN namba ninahitajika kwenda na kitu gani TRA?

Nauliza watahitaji vitu ani mfano picha na vinginevyo

Ahsanteni
 
Habarini ndugu,

Naomba msaada nataka TIN namba ninahitajika kwenda na kitu gani TRA?

Nauliza watahitaji vitu ani mfano picha na vinginevyo

Ahsanteni
Unahitaji TIN kwa ajili ya nini? Mfano, biashara, leseni ya udereva, kutolea/kumiliki gari au pikipiki, au kulipia kodi ya majengo(property tax)? Nijibu hapo ili nikupe utaratibu.
 
Habarini ndugu,

Naomba msaada nataka TIN namba ninahitajika kwenda na kitu gani TRA?

Nauliza watahitaji vitu ani mfano picha na vinginevyo

Ahsanteni
Nenda wewe mwenyewe haitakiwi pesa na hizo picha watakupiga pale pale wentewe uwe na details zako binafsi na ujue unataka TIN kwa shughuli gani.
 
kwa mfano mimi ninayo ya lesseni ya gari, naweza kuitumia kwa mishe nyingine wakuu au itanilazimu kufungua nyingine???
 
Back
Top Bottom