Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 9,865
- 8,886
Tusiwe wavivu kusoma.
Search humu kuna nyuzi kibaooooo,zimeelezea hili kwa kina sana
Search humu kuna nyuzi kibaooooo,zimeelezea hili kwa kina sana
Mkuu me nipo salama,Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naulzia jinsi ya kupata Tin maana nilikuwa nina tin tayari nilopata wakati napata leseni ya udereva, sasa nimeenda TRA waibadili iwe ya biashara naambiwa nilipie kiasi kadhaa..
Mkuu, na jinsi ya kuwa na leseni ya biashara unalipia shilingi ngapi?Tin namba ni BURE
Jaza form ya makadirio, then utawaachia watakwambia kachukue kesho tin namba hakuna kulipa hata senti moyaa. Kama una Leseni lazima utakua na tin, chukua certificate ya Hiyo tin ambayo unaipata huko huko tra ambatanisha na fom ya makadirio then peleka tra.cha msingi pata ushauri wa makadirio kwanza kabla ya kuwaona tra vinginevyo utajuta
Mkuu, na jinsi ya kuwa na leseni ya biashara unalipia shilingi ngapi?[/QUOTE
Sidhani kama gharama ya Leseni za biashara zote ni sawa, chamsingi nenda ofis za halmashauri/manispaa watakupa gharama kutokana na aina ya biashara
Hutegemea na aina ya biashara...Mkuu, na jinsi ya kuwa na leseni ya biashara unalipia shilingi ngapi?