Taratibu za kuacha kazi zikoje?

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,266
1,631
Wadau mimi nimeajiriwa kama mwalim ktk chuo kikuu flan hapa tz. Nina miaka mi4 kazini. Kwa sasa nimechoka kuwatumikia hawa mabwana kwa hiyo naomba mnipe taratibu za kufuata ktk kuacha kazi. Asanteni, nawasilisha.
 
Yaani mkuu chuo kikuu hakijakupa taratibu za kuacha kazi zikoje? pole sana!
 
Wadau mimi nimeajiriwa kama mwalim ktk chuo kikuu flan hapa tz. Nina miaka mi4 kazini. Kwa sasa nimechoka kuwatumikia hawa mabwana kwa hiyo naomba mnipe taratibu za kufuata ktk kuacha kazi. Asanteni, nawasilisha.

kwa mujib wa sheria ya ajira na mahusiano kazini, unapaswa kutoa notice ya siku 28 kwa maandishi, ama kulipa mshahara wako wa mwezi mmoja. Ila kwa mujibu wa sheria ya utumish wa uma na kanuni zake unaweza kuacha kaz ndani ya saa 24 kawa kuandika barua pamoja na kulhpa mshahara wa mwez mmoja.
 
we unataka kuacha kazi je umeshapata kazi nyingine? coz nakushauri usiache kazi kabla ya kupata kazi nyingine. Au ndokusema kuwa unataka kuwa entreprenuer?
 
Ebu tutajie hiko chuo mkuu,si vibaya ukituambia,na labda ungetuambia na sababu ni kwann unaacha?
 
kwa mujib wa sheria ya ajira na mahusiano kazini, unapaswa kutoa notice ya siku 28 kwa maandishi, ama kulipa mshahara wako wa mwezi mmoja. Ila kwa mujibu wa sheria ya utumish wa uma na kanuni zake unaweza kuacha kaz ndani ya saa 24 kawa kuandika barua pamoja na kulhpa mshahara wa mwez mmoja.

asante kwa ufafanuzi wako mzuri, sasa nimepata mwanga na nimejua pa kuanzie.
 
Ebu tutajie hiko chuo mkuu,si vibaya ukituambia,na labda ungetuambia na sababu ni kwann unaacha?

Kwa ufupi tu ni kwamba chuo hakiendeshwi kwa mujibu wa taratibu za kaz bali kwa KUJUANA zaid, pia manyanyaso mengi. Kama unahitaj detail zaid ni PM ukiainisha unachotaka kufaham zaid, ntakufahamisha. Asanteni sana wadau.
 
sikiza wee acha ujinga kuacha kazirahisisana kuliko kupata kaz. Kama vip ww mwibie mwajili wako utaona nini kitatokea
 
Back
Top Bottom