Taratibu za jamvi: Naomba mwongozo

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,461
2,288
Kwa mujibu wa taratibu zetu hapa, hivi thread huwa inafikia mwisho ambapo inafungwa? Hiyo rule inasemaje? Kama hakuna rule kama hiyo basi tujifunze kuvumilia freedom of political speech.

Kwa mfano, mada ya "Kamati ya Zitto yamshambulia Mzee Mwanakijiji" imefungwa. Mada ambayo bado ilikuwa active, na wachangiaji hatujajulishwa tumevunja sheria yoyote, na yaliyokuwa yakizungumziwa ni ya msingi, kwa nini ifungwe?

Tulikuwa tunahojiana kuhusu michango yetu kwa maendeleo ya nchi hii, waandishi wa jamvi hili JF na wa makala waliopo ndani na nje, kama kina Mwanakijiji.

Now, what was wrong with that topic? Why muzzle such speech?

Mbona hamfungii mada za "Msaada Kuacha Tigo" na "Ni Lazima Kwenda Chumvini"?
 
Huwezi jua kaka mkubwa, labda Zitto kaona kuna udhia akapenyeza rupia.... Oooh no, hivi nimesema rushwa? Ila ungejaribu kuwasiliana na mods kwa PM wakujuze kwanini wamefikia uamuzi huo... Usisahau kuleta fidbak hapahapa kwenye uzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom