Tar 16/april/2012 usaili wa ndani wa wanajeshi wenye diploma unaanza..........

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Taarifa nilizonazo mpka muda huu ni kuwa wanajeshi wenye elimu ya stashahada au diploma wanatarajia kuanza usaili tar 16/04 mwaka huu.

kwa haraka haraka ni kuwa wanafikia kama 200 hivi ambao kati yao wenye diploma za masomo ya sayansi hawafiki hata 30......

Acheni kurushana roho ajira za nje bado hata hazijafikiliwa kwa sababu hao wanao endesha usaili wa ndani ndo hao watakao fanya wa nje....wale vijana ambao walikuwa kwenye maandalizi ya gwaride la muungno wameshapewa RUHUSA kujiandaa na usaili tangu leo.

Nawakilisha.​

:laser::laser::laser::laser::laser::laser:
:laser::laser::laser::laser::laser::laser:
 
Ina maana application zilifanyika lini? Au siku hy ndo unafanya appl na kufanyiwa interview?
 
Tunashukuru kwa taarifa ila bado haujasomeka vizuri, unaposema usaili wa NDANI unamaanisha nini?
weka wazi zaidi
 
Mtoa mada ni F ala kama hili tangazo linawahusu wanajeshi wenye Diploma umelileta hapa jukwaani kufanya nini.,nyie si mnaubao wa matangazo,peleka kwny oda zenu.
Kazi yenyewe mnanyanyasana,hao wenye Dip waliingia jeshi tangu 2010 mpk leo hawajapelekwa TMA,priority wamepewa 4m6.Wanaojaribu kujiendeleza mnawapeleka kwny gwaride la muungano.
Poleni sana wanajeshi wenye Dip,ipo siku system itabadilika,bora mngebaki mtaani wenzenu wanaajiriwa kwny sekta binafsi na serikalini.Ona fagio lililopita hivi karibuni wenye diploma za uhasibu wamezolewa wengi kwenda TRA,FINCA,TANAPA.Wenye Dip za sayansi wanaajiriwa kila siku wanaishi kwa raha mustarehe uraiani.
 
Wewe UNATUKANA NINI? mimi
**** cyo ubarikiwe...ila kaa ukijua humu ndani kuna watu wanapenda taarifa na watakapo maliza za ndani wataanza nje.kama halikuhusu ka kimya.
 
Usaili wa NDANI humaanisha kuwa wanaoajiliwa au kupewa nafasi za huko jeshini kwa wenye elimu ya juu ni wale ambao wapo hizo ajira tayari (yaani ni wanajeshi kamili). Wanachofanya ni kutafuta wasomi miongoni mwao huko huko jeshini.
 
hv hizo habari zingatangazwa au mpaka uwe na ndugu huko kwa jeshi ndio utazipata? kwa wale wanaotaka kujiunga nafasi zinatoka lini au no news? Tupeane taarifa basi
 
Usaili wa ndani huwa kuna wanajeshi wamejiendeleza na kuwa na sifa mbalimbali za kada tofautitofauti.Wanapokuwa na mahitaji lazima waanzie ndani kwanza halafu ndy waje kuwasaili wengine. Nadhani ni utaratibu wa serikali si kitu kipya sana katika utumishi wa umma. Mleta thread hajafanya baya nadhani shida ni sisi wenye mahitaji wakati mwingi tupunguze jazba. Kusema kwamba kwa nini ameleta thread hapa nadhani si uugwana wandugu.Ijumaa Kuu njema kwenu wote!
 
ahsante kwa jibu lakini maswali ya msingi hayajajiibiwa kama lini utafanyika usahili wa nje nadhani tetec utakiwa nayo,jinsi ya kutuma maombi,wale wenye degree ni lini? Nimenukuu maswali ambayo hayapata majibu nategemea utatupa taarifa wanajf.
 
mi siandiki tetesi kwenye nafasi za jeshi ntaandika kadri navyopata taarifa ktk chanzo changu cha ndani ya wizara husika.,
 
ahsante kwa jibu lakini maswali ya msingi hayajajiibiwa kama lini utafanyika usahili wa nje nadhani tetec utakiwa nayo,jinsi ya kutuma maombi,wale wenye degree ni lini? Nimenukuu maswali ambayo hayapata majibu nategemea utatupa taarifa wanajf.
Zikitoka utasikia achana na tetesi
 
wa senge tu, hadithi za namna hii zilianza toka mwezi wa kwanza, ila hakuna kitu
 
Mmmh jaman achen jazba katika kutoa maon,mawazo na itumike hekima,busara,na utu zaidi kuliko kutoa matusi na maneno ya kashfa
 
Back
Top Bottom