Taqwa Bus kutoka Dsm to Bujumbura

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,822
Msije panda gari hili. Ni bovu sana, toka saa 12 alfajiri sasa ndio tunaingia Dodoma.
Limejaza sana mizigo ndani, korido haipitiki.
Polisi wanaliona na tumeongea, lakini hamna hatua walizochukuliwa wahudumu wa basi hili.
Polisi wamesema tuendelee na safari, dereva atalipia makosa yake akiwa anatoka Bujumbura.
 
Hiyo itakuwa ni kama mtabahatika kufika salama. Ama Kweli hiki ni kichekesho!!
 
Shukuru Mungu mwenzangu umefika salama mengine wachie wenyewe hawa somi hao madereva wala police juu ya ajali zinazotokea.
 
Poleni sana. Siku nyengine safiri kwa Kampala Coach,Huduma safi na Mabasi ya uhakika Naamini basi lao Dar to Kampala lina connect to Bujumbura.
 
Tatizo ni kupenda bei cheee ndo unafika mguu umevunjika au jicho hakuna! Serikali nayo badala ya kuimarisha usafiri wa reli ndo kwanza wanapambana na kuwasha umeme!! Tungekuwa na akina Sata East Africa, train za umeme zingetembea ndani ya miaka 10 - 15 ijayo kuunganisha nchi zote! Lakini kwa sababu ya mafisadi kumiliki uchumi tusahau!.

Just Imagine kitu kama hiki 28.jpg kitoke Dar - Bujumbura - Kigali - Kampala - Nairobi and then back to Dar ya masaa 12!! what the beautiful economic will be. Kila muafrica mashariki ataishi kwa raha.
 
36.jpg Vitu vingine hivyo hapo!! Hapo kusafiri kwenda mikoani unakuwa salama na shwari!! Haya mabasi yanatakiwa yabaki ndani ya jiji kama daladala na mengine yawe ya kupeleka watalii kwenye vivutio vyetu kukuza uchumi.
 
Pole usafiri ni mgumu wa kwenda uko....kwa hiyo ndio maana wanajaza sana mizigo
 
Msije panda gari hili. Ni bovu sana, toka saa 12 alfajiri sasa ndio tunaingia Dodoma.
Limejaza sana mizigo ndani, korido haipitiki.
Polisi wanaliona na tumeongea, lakini hamna hatua walizochukuliwa wahudumu wa basi hili.
Polisi wamesema tuendelee na safari, dereva atalipia makosa yake akiwa anatoka Bujumbura.

Siku nyingine panda ndege acha ubahili bana
 
Tatizo ni kupenda bei cheee ndo unafika mguu umevunjika au jicho hakuna! Serikali nayo badala ya kuimarisha usafiri wa reli ndo kwanza wanapambana na kuwasha umeme!! Tungekuwa na akina Sata East Africa, train za umeme zingetembea ndani ya miaka 10 - 15 ijayo kuunganisha nchi zote! Lakini kwa sababu ya mafisadi kumiliki uchumi tusahau!.

Just Imagine kitu kama hikiView attachment 39906 kitoke Dar - Bujumbura - Kigali - Kampala - Nairobi and then back to Dar ya masaa 12!! what the beautiful economic will be. Kila muafrica mashariki ataishi kwa raha.

Mafisadi hawana hiyo vision ya 12 hour trip across EA and back to Dar. Vision yao not beyond national coffers and how to steal from the same. Fine suits,beneath ticks the heart of a thief. Hovyo hovyo.
 
polisi wa tz wala rushwa sana, kinachotakiwa ni kuwapiga picha na kuwaanika hapa jamvin, huku UG hata daladala hazirusiwi kusimamisha abiria ila bongo ni balaa,
 
poleni sana.nawatakia safari njema.mkifika pale benaco ngara msalimieni mwenyekiti wa chadema bwana luchwele.mia
 
Nimewahi kulipanda tokea Nzega-dar nilichoka make ilikuwa jioni saa12 na usafiri taabu njiani na nawahi kazini,nilisimama tokea Nzega-Mor.Limepakia wanyaru na wana roho mbaya kinyama,hapendi hata umsogolee na ukijitikisa tu wanakutusi kwenye kinyaru,sitakuja kulipanda tena basi kama daladala...nilibahatika kufika dar saa6 ksho yake niko hoi taabani
 
Back
Top Bottom