Tapeli wa kuogopwa hapa dar es salaam!

mkonomtupu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
441
118
WADAU WOTE
:hat:
TAFADHALINI HUSIKENI NA KICHWA HUSIKA HAPO JUU
KUNA HUYU JAMAA ANAITWA SHEIKMOUN HALAHALA AL-MAARUFU KAMA HALA HABIB.
HUYU JAMAA ANAJUANA NA MIRAJI NA RIZ1 HIVYO BASI HUTUMIA MWANYA HUO KUTAPELI WATU
HAPA MJINI. KUNA DADA MMOJA ALILIZWA USD 14,000/= KUNA MWINGINE 7,000/= NA WENGI NIKIWAMO MIMI
DOLA MIA 3. ANAJIFANYA ANACONNECTION YA KITU CHOCHOTE UNACHOTAKA KUFANYA AMA KUNUNUA.
MARA ANJIFANYA ANANUNUA MAGARI JAPAN, MARA CHINA, HONKONG NK. NI KWELI ZAMANI WAKATI YUKO NJEMA
ALIKUWA ANAFANYA HAYO ANAYOYASEMA ILA KWA SASA HANA KITU NDIO KAAMUA KUWA TAPELI.
ANAKAA KAWE NA NAMBA YAKE YA SIMU NI +255689 000222.
TAHADHARI KABLA YA HATARI YASIJE KUKUKUTA MJINI HAPA.
NAWASILISHA WADAU.:spy:
 
aksante kwa taarifa yako mkuu, ................ ngoja nimuweke hewani nimueleze kuwa tabia yake sio nzuri!! teh teeh teh!!
 
wakuu pamoja sana huyu hafai ni mjinga sana tafadhali tuwaambie na wenzetu hata nje ya Jamii Forums
 
WADAU WOTE
:hat:
TAFADHALINI HUSIKENI NA KICHWA HUSIKA HAPO JUU
KUNA HUYU JAMAA ANAITWA SHEIKMOUN HALAHALA AL-MAARUFU KAMA HALA HABIB.
HUYU JAMAA ANAJUANA NA MIRAJI NA RIZ1 HIVYO BASI HUTUMIA MWANYA HUO KUTAPELI WATU
HAPA MJINI. KUNA DADA MMOJA ALILIZWA USD 14,000/= KUNA MWINGINE 7,000/= NA WENGI NIKIWAMO MIMI
DOLA MIA 3. ANAJIFANYA ANACONNECTION YA KITU CHOCHOTE UNACHOTAKA KUFANYA AMA KUNUNUA.
MARA ANJIFANYA ANANUNUA MAGARI JAPAN, MARA CHINA, HONKONG NK. NI KWELI ZAMANI WAKATI YUKO NJEMA
ALIKUWA ANAFANYA HAYO ANAYOYASEMA ILA KWA SASA HANA KITU NDIO KAAMUA KUWA TAPELI.
ANAKAA KAWE NA NAMBA YAKE YA SIMU NI +255689 000222.
TAHADHARI KABLA YA HATARI YASIJE KUKUKUTA MJINI HAPA.
NAWASILISHA WADAU.:spy:

inasikitisha iwapo watu wazima mnatolewa upepo kwa kutajiwa jina la riz1 tu, kumbe majuha bado mpo wengi bongodarisalama. Kuna jamaa atakutajia jina la riz1 ili umpe **** na utampa!
 
wajinga ndio waliwao,
 
Huyu jamaa sio ndio anaitwa hilal nae anajifanya anadeal na magari kumbe tapeli tu kamdhulum rafki yangu mmoja ni dr pale kariakoo dola 66oo anaitwa hilal rashid swelum ni muunguja yupo hongkong hivi punde tuwe na ruksa ya kuanika na picha zao hawa wezi
 
WADAU WOTE
:hat:
TAFADHALINI HUSIKENI NA KICHWA HUSIKA HAPO JUU
KUNA HUYU JAMAA ANAITWA SHEIKMOUN HALAHALA AL-MAARUFU KAMA HALA HABIB.
HUYU JAMAA ANAJUANA NA MIRAJI NA RIZ1 HIVYO BASI HUTUMIA MWANYA HUO KUTAPELI WATU
HAPA MJINI. KUNA DADA MMOJA ALILIZWA USD 14,000/= KUNA MWINGINE 7,000/= NA WENGI NIKIWAMO MIMI
DOLA MIA 3. ANAJIFANYA ANACONNECTION YA KITU CHOCHOTE UNACHOTAKA KUFANYA AMA KUNUNUA.
MARA ANJIFANYA ANANUNUA MAGARI JAPAN, MARA CHINA, HONKONG NK. NI KWELI ZAMANI WAKATI YUKO NJEMA
ALIKUWA ANAFANYA HAYO ANAYOYASEMA ILA KWA SASA HANA KITU NDIO KAAMUA KUWA TAPELI.
ANAKAA KAWE NA NAMBA YAKE YA SIMU NI +255689 000222.
TAHADHARI KABLA YA HATARI YASIJE KUKUKUTA MJINI HAPA.
NAWASILISHA WADAU.:spy:
Nenda Polisi na si kupakazia watu humu weka ushahidi wako basi na sio kupakazia watu humu JF huyo Jamaa ana heshima zake na ana familia pia kuandika jina lake na la ukoo wake hiyo haijakaa sawa kwani kila mtu atabeba msalaba wake... Wangelalamika waliotapeliwa usd 14,000.

Hebu weka na wewe Jina lako tujue... Mlipokuwa mnapeana hizo Pesa hukuja humu kutuambia sasa unaona deal limechelewa unaanza kulia
 
Thnx kamanda ni taahadhari muhimu hii, muhimu tusifikirie mafanikia ya haraka bila kufanya kazi na kupanga mipango yetu vizuri, Mara nyingi Bure ni Ghari sana, Tuepuke Rahisi
 
kwenye maisha nimejifunza kitu kuto urgue na mafool poleni na ujinga wenu. walioelewa lengo lango langu
ili wasije ingia mtegoni, wameelewa wajinga bakini na ujinga wenu.:spy:
 
Nenda Polisi na si kupakazia watu humu weka ushahidi wako basi na sio kupakazia watu humu JF huyo Jamaa ana heshima zake na ana familia pia kuandika jina lake na la ukoo wake hiyo haijakaa sawa kwani kila mtu atabeba msalaba wake... Wangelalamika waliotapeliwa usd 14,000.

Hebu weka na wewe Jina lako tujue... Mlipokuwa mnapeana hizo Pesa hukuja humu kutuambia sasa unaona deal limechelewa unaanza kulia
Wewe ndiye tapeli mtajwa? au una undugu naye?
Kama una uchungu lipa basi hizo pesa ambazo wadau wameshatapeliwa.
 
Sikiaaa... Wajua Jamaa kaja kisiasa zaidi kwani Kuna Njia nyingi za Utaperi sasa yeye kaja na Kashfa tu ni bora angetaja Alichotaperiwa tukaelewa inawezekana pengine kataperiwa au kaadithiwa tu ndio kajaa JF Kumchafua Jamaa... Mimi sidhani kama kuna Deal la usd 300. kwa kutizama tu usd 300 ununua nini? au ni Consultation fees ya kitu fulani? sasa kama jamaa hajafanikiwa ndio mbio JF Kumsema jamaa kuwa ni Taperi tena ameshamtaperi jamaa flan usd 14,000 na mwingine kadhaa aaah! nini hii kitu

hata ze utamu ndio ilivyokuwa hivi hadi kashfa zikamuendea Mkuu wa Nchi ikafungwa Fasta... na Mod wakiachia hivi basi ujue kuna mtu atakuja Mtaja hadi Raisi kumuibia kitu na Wengi humu watamsapoti ... Ndibalema Stuka..
 
Hapo kwenye red, unataka useme nini sasa! Unatutisha jf itafungwa au~!
 
Kutisha vipi ! kwani kuna mtu alijua kuwa ze utamu ingekufa? kila kitu kina mwanzo na mwisho... sijamaanisha jf kufungwa nasema kama mambo haya yakiachiwa sana binadamu wana tabia ya kuzoea so wanaweza kuzidisha sana hadi kuharibu tujadili kiini na sio juu juu tu... Mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom