Tanzia

ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,183
198
Mchezaji wa zamani wa timu ya Majimaji na Tanesco ya Songea Ambrose Mwingira (Ayoyi) amefariki dunia usiku wa kuamkia jumapili tarehe 30/10/2012. kwa mujibu wa familia Ambrose alikua anasumbuliwa na malalia kwa siku tatu mfululizo hadi mauti yanamkuta . Familia imetangaza mazishi yake yatafanyika kesho jumanne nyumbani kwao bombambili Songea
 
Kaka habari ni ya kweli usichanganye golikipa mwingira namzungumzia Ambrose Mwingira ni ukweli mi nipo msibani na jana tuilikua pale hosipitali ya mkoa na Mbopa Luoga na Wily Gama
 
Poleni xana wafiwa Mungu awatiwe nguvu katika kipindi kigumu ,kazi Mungu haina Makosa
 
Aisee, wewe ni Mtanzania kweli?...uSIJE KUTA TUNAISHI NA MA'ALKAIDA!

RIP AMBROSE?

Mi mtanzania kaka, tena wa kuzaliwa hasa, nimeshtuka kuona mwenzetu anaambiwa atakufa mwisho wa mwezi na ndio kwanza leo ni tarehe moja!
 
Back
Top Bottom