Tanzia

Mpe Mungu utukufu kwa kila jambo maana ana mipango na kila kinachotokea. Alimleta duniani na kamchukua kwa wakati wake. Pole sana mkuu.
 
Pole sana mtu mmoja.Mungu akutie nguvu katika hiki kipindi kigumu.Mungu ailaze roho ya marehemu mtoto wa mtu mmoja mahali pema peponi,Amen.
 
asanteni sana wakuu. Mungu ni mkuu sana na uaminifu wake wadumu vizazi hata vizazi.

sifa na utukufu apewe Bwana
 
poe sana mkuu ndio kazi yake mola haina makosa cha msingi ni kumwomba mwenyezi mungu aipumzishe roho ya marehemu pahala pema peponi na awajalie moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.Pole sana
 
Ndugu zangu,

january mwaka huu nilikuja hapa na habari za furaha kuu za kupata mtoto wa kiume (angalia link hiyo hapo chini)

https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-kiume-mama-na-mtoto-wanaendelea-vizuri.html

leo hii nina huzuni kuu pia, Mwenyezi Mungu muweza wa yote kamuita mtoto huyo kurejea kwake na kutuacha na majonzi makubwa nisiyoweza kuyaeleza vyema. machozi mengi sana yamenitoka, ila sina la kufanya zaidi.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe

RIP mwanangu mpendwa

Mh pole sana sana kaka yetu mpendwa mungu akutie nguvu ktk kipind iki kigumu! may his soul rest in eternal peace! amen! pole sana sana kaka! mungu na awatie nguvu leo na daima.
 
Pole saaana rafiki lakini yote ni mipango ya Mwenyezi Mungu kwani akifunga mlango mmoja hufungua mwingine. Mungu wetu akupe faraja wewe na mama katika kipindi hiki kigumu
 
poe sana mkuu ndio kazi yake mola haina makosa cha msingi ni kumwomba mwenyezi mungu aipumzishe roho ya marehemu pahala pema peponi na awajalie moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.Pole sana

Pole sana ndugu yangu, Mungu amlaze mahali pema peponi. Amina.

Mh pole sana sana kaka yetu mpendwa mungu akutie nguvu ktk kipind iki kigumu! may his soul rest in eternal peace! amen! pole sana sana kaka! mungu na awatie nguvu leo na daima.

Ndugu yangu pole sana!

asanteni sana wakuu
 
Pole sana mkuu...hii ni mitihani ya Mwenyezi Mungu,muhimu ni kumtia moyo mzazi mwenzio na soon maisha yataendelea though inaacha kumbukumbu ya machungu!
 
pole sana mkuu, inahuzunisha sana na ninaamini unapitia wakati mzito kwa sasa....ila mtumaini Mungu kwa kila jambo nae atakusikia
 
Pole sana kwa msiba huu mzito uliokupata wewe pamoja na mke wako, tunamuomnba Mwenyezi Mungu awape faraja na amani moyoni wakati huu mgumu. RIP mtoto
 
Pole ndugu yangu, aidha kazi ya Mungu HAIJADILIWI na zingatia Mungu HAMUONEI aliyemuumba, ZINGATIA akikuondolea hiki atakupa kile, akikuondolea kile atakupa hiki, huyo ndiye MUNGU.
 
Back
Top Bottom