Tanzia

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Wana JF katika kijiwe cha Biashara na Ujasiriamali, kwa masikitiko makubwa napenda kuwafahamisha juu ya msiba wa mama Mdogo wa mpendwa wetu Mwana JF na wanaSACCOS Caroline Danzi kilichotokea leo alasiri Jijini Dsm.

Kwa niaba ya wana SACCOS (ingawa mm sio Mwenyekiti) napenda kumtakia amani na utulivu mkuu katika kipindi hiki cha msiba. Uwe na Moyo Mkuu ukitambua kuwa kazi ya Mungu haina Makosa hata kidogo. Uwe na Uhakika kuwa mawazo yetu yako pamoja nanyi wanafamilia katika kipindi hiki cha msiba.

Kwa wale walioko dar, wanaweza kumtambelea pale panapowezekana

Mwenyezi Mungu ametoa Mwenyezi Mungu Ametwaa, Jina la Bwana Libarikiwe

Kiresua
 
Pole sana Caroline Danzi
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Rest in Peace Mama Caroline
 
Caroline Pole sana na familia nzima...........Mpate faraja wakati huu mgumu
 
Kafiwa na mamake. Whatever u ar up to,hebu acha kwanza lol!
Carol,pole sana. Ndo ukubwa,make her proud of the strong gal she moulded ..
Asante kwa kunielewesha... Pole sana Caroline, Be strong, kumbuka there is a promise of eternal life for humanity and your mum is just resting, till the day you are united again... If you need to talk, I will be there. Hugs.
 
R. I. P Carol ukapumzike kwa amani, msalimie Nyerere, Kawawa na wengine, ila tusaidie kuangalia kama Balali yuko huko kisha tujuze.
 
Pole sana Calorine Danzi, amini mama yako yupo katika pumziko la milele. R.I. P mother of Calorine Danzi.
 
Pole sana Caroline Danzi
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Rest in Peace Mama Caroline

Kafiwa na mamake. Whatever u ar up to,hebu acha kwanza lol!
Carol,pole sana. Ndo ukubwa,make her proud of the strong gal she moulded ..

RIP mama wa Caroline

Pole sana Calorine Danzi, amini mama yako yupo katika pumziko la milele. R.I. P mother of Calorine Danzi.

Wakuu ni mama yake au mama yake mdogo anyway pole Caroline na RIP mama yake mdogo Caroline
 
Caro mpenzi pole sana Mwenyezi MUNGU akutie nguvu.
Mtoa Mada tukitaka kumtembelea Caro kumpa pole zetu tunakwenda wapi?

RIP Mama mdogo wake Caro
 
Pole sana Caroline. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya mpendwa mama yetu mahali pema peponi~AMEN
 
Back
Top Bottom