TANZIA: Mwenzetu NJEE amefariki dunia Leo Alfajiri

Status
Not open for further replies.
Aisee poleni sana ndugu jamaa na marafuiki kwa kumpoteza mmoja kati ya memmber RIP
 
Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. R.I.P. kamanda NJEE.
 
Kwa masikitiko makubwa kabisa nachukua fursa hii kuwatangazia Members wote wa JF kuwa kuna member mwenzetu kwa ID user name ya Njee, amefariki leo alfajiri baada ya kupatwa na mstuko wa Moyo!

Kupata profile yake tembelea - Njee (Senior Member)


MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI

r.i.p ndugu mwajamii mwenzetu.
 
Mungu awape faraja wafiwa..sad!

Mungu ipokee kwa wema wako na kuipumzisha kwa amani roho ya mpendwa wetu,pia ipe nguvu ya ziada familia ya wafiwa katika kipindi hiki kigumu,Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
“ INA LILAAH WAINA ILAYHI RAJIOUN ”
With sadness we accepted from inner most, Allah’s justice by giving and taking and all we shall return to Allah.
alazwe peponi, Poleni kwa wote , Awape subira na faraja wafiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom