Tanzia: Msanii wa filamu Sherry Magali afariki dunia

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
sherrymagali.JPG
Msanii nyota wa filamu nchini Sherry Charles Magali akiwa hoi hospitalini Wodi Namba 8 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro katika picha hii iliyopigwa na mwandishi wetu Ijumaa iliyopita, Okt 17, 2014.

Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za mazishi.

Source: GPL
 
Jaman jaman sio Mzee Magali ni mtoto wake anaitwa Sherry Magali daa watu bwana!!
 
ayaaaa.kweli c viumbe hatuna kitu mbele ya muumba.R.I.P sherry na mungu akuweke panapostahili
 
ebu nipen umbea vzur, si yule demu anayependa kusuka rasta na ivi karibun alikana kuwa magar sio baba yake? Anaitwa fey sijui
 
Back
Top Bottom