TANZIA: Member mwenzetu Mgirik amefiwa na baba yake mzazi

Apologise lady

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
5,979
3,097
Member mwenzetu amempoteza baba yake mzazi leo hii, hivi yupo kwenye mpango wa kwenda kwao kuhudhuria msiba.

Pole mkuu, Mungu akupe uvumilivu.​
 
Pole sana ndugu yetu MGIRIKI...........Mungu akupe wepesi kwenye hili.........
R.I.P baba..........
 
Last edited by a moderator:
Pole mpendwa mgiriki, Mungu akusimamie umalize maziko salama ukiwa na nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom