LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Habari toka ndani ya mji Monduli ni kwamba Mbunge wa Wilaya ya Monduli amefiwa na mdogo wake wa kuzaliwa. Na bila shaka ni hbr nzito kwani kifo jamani ni janga kubwa kwa kila awaye yote,Habari hii ya uhakika nimezipokea kutoka ndani ya wilaya lengwa na nitaiboresha zaidi baada ya muda kidogo. Poleni wafiwa ndg jamaa na hata marafiki kwn MUNGU alimpenda zaidi! Nawasilisha!