Tanzia: Matwi afiwa na baba yake mzazi

Matwi, nimefurahi kukuona hapa jamvini. Tunamshukuru Mungu kwa kuwatia nguvu ktk kipindi kile kigumu, hakika Mungu yu mwema. Aendelee kuwatia nguvu: mama, wadogo zako nawe pia ambaye umeachiwa majukumu kama Kiongozi wa familia kwa sasa. Nachokusihi usiogope, songa mbele.
 
kaka humu lazima niiingie tu kwani tayari tumemaliza matanga na ninyi ni ndugu zangu,naaamini kuwa karibu nami ni faraja tosha.Mbarikiwe
 
Back
Top Bottom