Tanzia: Madame B na Kijino wamefiwa na Baba yao

Poleni sana wafiwa! Kazi ya Mungu haina makosa!


Raha ya milele umpe ee bwana na Mwanga wa milele umwangazie! Apumzike kwa amani, Amina!
 
pole madame B na Kijino ,Mungu awatie nguvu na kuwapa faraja ktk kipindi hiki kigumu bwana alitwaa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe Amina
 
Msivunjike moyo wapendwa,
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi....amina!

Poleni sana....
 
Madame B na Kijino poleni sana kwa msiba aw baba, siyo rahisi kabisa. Najua mpo kwenye hali gani, nimewahi ku-experience nilipompoteza baba yangu. Kwa sasa ni kukubali tu yale maneno "Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana Libarikiwe"
RIP baba
 
Last edited by a moderator:
OMG!

Poleni sana Madame B na Kijino (sikuwa najua kama nyie ni ndugu, JF bana).

Namwomba Mungu awape moyo wa subira na uvumilivu katika hiki kigumu sana kwenu. Pia namwomba Mungu wetu huyu huyu amsamehe mzee wetu yote aliyoyafanya ambayo hayakumpendeza ili ampumzishe mahali pema peponi. Amina.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake na lihimidiwe.
 
Last edited by a moderator:
Daahh..Mungu awepe nguvu wafiwa katika kipindi hiki kigumu sn..Lushoto sehemu gani..mi nipo Lushoto mpaka J3
 
Polenin sana wafiwa, Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa Bwana ametoa Jina lake liinuliwe - Amen
 
Poleni sana Madame B na Kijino kwa kuondokewa na baba. Tunawaombea faraja kwa Mola. Tuko pamoja kwa kipindi hiki kigumu. Poleni sana
 
Polenin sana wafiwa, Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa Bwana ametoa Jina lake liinuliwe - Amen
 
Back
Top Bottom