Tanzia: Madame B na Kijino wamefiwa na Baba yao

My heartfelt sorrow for this great and devastating tragedy under the sun!
Mungu mwenyewe awafariji na kuwafuta machozi.
Raha ya Milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie Baba yetu!
Apumzike kwa amani!
Tuko pamoja sana katika shida hii!
 
Poleni sana Madame B na Kijino Mungu wa mbinguni aliye Mfariji awape nguvu katika kipindi chote cha majonzi.Bwana ametoa ,Bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe....!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Madame B pole sana Kijino. Innalilah wainailah raj'un! Nitahudhuria msibani.
 
Dah! What a sad way to start a way?
Pole sana mwalimu wangu Madame B na Kijino kwa msiba huu mzito
Mungu awape nguvu muweze kuhimili hii hali. Amlaze mahali pema peponi amen.

Kufuatia msiba huu nimeahirisha kurusha sredi moja ivi apa
 
Last edited by a moderator:
my deepest condolence to familia ya Madame B and Kijino. Mungu awape nguvu katika hiki kipindi kigumu na kwa uwezo wake mtapita. Tumuenzi marehemu kwa kukumbuka na kufanya mema yake kwa manufaa ya familia na jamii.
 
Last edited by a moderator:
Sincerely I'm sending my deep condolence to our fellow members Madame B and Kijino for the loss of our treasurer which was the gift from above! My condolences to you all members and moderators of JF. God giveth and hence he taketh, may mzee RIP.
 
Last edited by a moderator:
my heartfelt sorrow for this great and devastating tragedy under the sun!
Mungu mwenyewe awafariji na kuwafuta machozi.
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie baba yetu!
Apumzike kwa amani!
Tuko pamoja sana katika shida hii!
amina!
 
Back
Top Bottom