LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
WanaJF! Kwa kweli nimesikitishwa na habari ya Radio one kusema mtangazaji maarufu wa Zanzibar atazikwa leo asubuhi. Kwa kweli kifo ni hatari kwani huyu jamaa namkubaligi sana hasa kwenye michezo na mambo mseto ya siku ya j'pili saa tano asubuhi. Rest In Peace Maulid! NAWASILISHA KWA WANAjf!