TANZIA: Diwani kata ya Lwezera afariki Dunia

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Lwezera,Tarafa ya Bugando,wilayani Geita kupitia CCM bwana Anatori Mkufu amefariki Dunia juzi kwa ajali ya gari jijini Mwanza eneo la Mabatini.

RIP Mheshimiwa...
 
Poleni sana wafiwa, wanachama na wapenzi wote wa CCM pamoja na wananchi wote kwa ujumla hasa wana Geita
 
RIP Diwani....kuna bahati mbaya kwa madiwani baada ya uchaguzi uliopita....inasikitisha sana....
 
rip gamba dogo.

Mkuu...jamaa alikuwa mchapa kazi na element zote za kikamanda na alikubalika kwa watu wa rika zote japo alikuwa ma.ga.mba side...ndiyo maana amekuwa diwani tangu miaka ya 90s...enzi hizo ilikuwa kata ya Nzera...mpaka ilipogawanywa na kuzaliwa kata hii ya Lwezera.
 
R.I.P Diwani ila ujue kama ulifanya udangaanyifu wa kura ulipochaguliwa ujue lazima utaenda kujibu hko kwa Mr. Sir God.
Nawatakia familia ya marehemu nguvu katika kipindi hiki kigumu..
 
Back
Top Bottom