Tanzannian politics

MINOR THREAT

Member
Jul 17, 2010
6
0
Vipi, mimi ni mpya huku TZ, nilianza kuishi hapa kwanzia Januari. Afu, katika ya mooda mfupi nilikuwa huku, niliona TZ mukona party moja ,CCM, na watu wakona maoni tofauti kuhusu CCM. Nieleze ni nini mbaya nao? Rafiki moja, aliniambia, wako disorganised lakini, ye huwapigia kura kwasababu zile chama vingine ziko zaida disorganised kuliko CCM? Give me an outlook abt them nd siasa za TZ in general..
 
Back
Top Bottom