TanzaniteOne Mining Ltd Wabadilisha dini

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,369
33,015
Yale mazingaombe ya makampuni ya kigeni ya kujivua gamba kwa kujibadilisha jina kila wanapojisikia limerudi tena nchini na safari hii kampuni ya TanzaniteOne Mining ltd inayojihusisha na uchimbaji wa madini ya Tanzinite huko mkoani Arusha imejibadilisha jina na sasa inaitwa Richland Resources Ltd. Haijajulikana kwa nini kampuni hii imejibadilisha jina ikiwa ni mara ya pili sasa tangu iingie mjini.

Source mimi mwenyewe
 
Back
Top Bottom