Tanzanite ya Arusha, yainufaisha Bahama kupindukia

The Hunter

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
1,049
305
Nimestaajabia kuona Bahama, ikiwa imejazwa maduka makubwa kwa madogo ya Tanzanite, mengi ya maduka niliyoyashuhudia pale Nasau na hata Free Port yamejazwa madini safi ya Tanzanite katika ukubwa tofauti na kwa wingi, huku yakiuzwa kwa gharama kubwa kupindukia.
Unaweza bisha lakini amini madini yetu yanayochimbwa hapo Arusha ndio yanayoendesha uchumi wa bahama
 
Sio Bahamas tu Caribbean yote wanamaduka ( tourist shop) zinauza mapambo km mikufu nk vya Tanzanite. Ukiwaambia unatoka bongo wanakuambia kwa hiyo unatanzanite unauza? Wanafikiri Tanzanite inauzwa chee kama pipi. Wanasema nikupe hela uniletee hata kipande kidogo sana. Na haya maduka mengi ( jewel store) wanaouza ni wahindi sasa sijui wamiliki wao lakini unakuta wametoka India kuja kuuza kwenye hayo maduka. Tena zipo za kila rangi nyumbani wachukue bure wakati huku ni ghali mno. WaTZ tuamke jamani uchumi tunao wanaofaidi wachache. Hii serikali imetupeleka pabaya hatupashwi kuwa maskini.

Nimeshuhudia niliyoandika. Asubuhi njema nilipokosea mnisamehe ila inauma sana.
 
Nchi ambazo zinapata pato kubwa kutokana na Tanzanite ni US, India na Kenya. Tanzania inaambulia kiduchu tu sidhani hata kuna rekodi za kuonyesha Tanzanite inaingiza pato la ukubwa gani kila mwaka kwa nchi yetu.
 
hahhahah mimi sistaajabu kabisa. Hii nchi imeuzwa na watanzania wamelala tu. Sasa suisi wazanzibari tukidai chetu munatuchamba wakati nchi yenu iko wazi kuibiwa bila tatizo lolote lile.
 
Mwana jamaa store zao wameamua kuziita Tanzanite, kakisiwa kama Free port kamebaki magofu bt kana store za tanzanite kibao
 
Sio Bahamas tu Caribbean yote wanamaduka ( tourist shop) zinauza mapambo km mikufu nk vya Tanzanite. Ukiwaambia unatoka bongo wanakuambia kwa hiyo unatanzanite unauza? Wanafikiri Tanzanite inauzwa chee kama pipi. Wanasema nikupe hela uniletee hata kipande kidogo sana. Na haya maduka mengi ( jewel store) wanaouza ni wahindi sasa sijui wamiliki wao lakini unakuta wametoka India kuja kuuza kwenye hayo maduka. Tena zipo za kila rangi nyumbani wachukue bure wakati huku ni ghali mno. WaTZ tuamke jamani uchumi tunao wanaofaidi wachache. Hii serikali imetupeleka pabaya hatupashwi kuwa maskini.

Nimeshuhudia niliyoandika. Asubuhi njema nilipokosea mnisamehe ila inauma sana.
kwa nini unadhani kuwa umekosea kuyasema haya???
 
So painful! Na mbaya zaidi wanaotetea huu ujinga na kurudisha mapambano nyuma ni wa*pu*uzi* kama Nape na Chemba! They will pay the price in future. Period!
 
Bahama, Guatemala, Jersey nk. Ni baadhi ya nchi zinazoendesha uchumi wao unaotegemea interest ya fedha chafu zilizowekezwa kwenye mabenki.
 
Ni kweli hizo nchi zilitajwa pamoja na afrika kusin canada na australia zinauza tanzanite kwa bei rahis kuliko bei inayouzwa nchini kwetu kwa sisi wadau wa tanzanite soko limeharibika sana kwani watalii kutokaka hizo nchi tayari washafanya manunuzi kwenye nchi zao tena kwa nusu bei. Huku kwetu upatikanaji ni mgumu na bei ni juu sana
 
Nimestaajabia kuona Bahama, ikiwa imejazwa maduka makubwa kwa madogo ya Tanzanite, mengi ya maduka niliyoyashuhudia pale Nasau na hata Free Port yamejazwa madini safi ya Tanzanite katika ukubwa tofauti na kwa wingi, huku yakiuzwa kwa gharama kubwa kupindukia.
Unaweza bisha lakini amini madini yetu yanayochimbwa hapo Arusha ndio yanayoendesha uchumi wa bahama

Mtoa sredi hujaeleweka ulitaka kuisifia Tanzania au kuiponda? Ubaya wa bahama kuwa na tanzanite uko w?
 
Soko halieleweki nilikuwa huko wazawa utazani machinga wakiuza nguo za kichina mtaa wa kongo kila mtu kashika mkononi jiwe lake na mtu anahama hapa na kuelekea kwa yule,na anayekwenda mjini Arusha katika soko la wachuuzi wakubwa hajui atauzaje uzaje anaweza akauza kwa bei anayoambiwa ,tufikiri tuchukue hatua,Watanzania!!!!!!!
 
Nimestaajabia kuona Bahama, ikiwa imejazwa maduka makubwa kwa madogo ya Tanzanite, mengi ya maduka niliyoyashuhudia pale Nasau na hata Free Port yamejazwa madini safi ya Tanzanite katika ukubwa tofauti na kwa wingi, huku yakiuzwa kwa gharama kubwa kupindukia.
Unaweza bisha lakini amini madini yetu yanayochimbwa hapo Arusha ndio yanayoendesha uchumi wa bahama

Hii ni kweli kabisa. Nilishangaa na kwanza sikuamini nilipoziona kwenye duka Bridgetown, Barbados.
 
Nchi ambazo zinapata pato kubwa kutokana na Tanzanite ni US, India na Kenya. Tanzania inaambulia kiduchu tu sidhani hata kuna rekodi za kuonyesha Tanzanite inaingiza pato la ukubwa gani kila mwaka kwa nchi yetu.

Wekeni takwimu hapa sio mazungumzo ya mitaani tu. Pia kumbuka kuna kitu kinaitwa value addition hao wanaopata zaidi wamechukua hii mali ghafi wakaifua vizuri na kuimarket inavyo stahili - kwa hiyo wanastahili faida kulingana na juhudi yao. Tatizo letu ni wivu na uhasidi - hivi ndio vinatufanya tulivyo !!
 
Nimestaajabia kuona Bahama, ikiwa imejazwa maduka makubwa kwa madogo ya Tanzanite, mengi ya maduka niliyoyashuhudia pale Nasau na hata Free Port yamejazwa madini safi ya Tanzanite katika ukubwa tofauti na kwa wingi, huku yakiuzwa kwa gharama kubwa kupindukia.
Unaweza bisha lakini amini madini yetu yanayochimbwa hapo Arusha ndio yanayoendesha uchumi wa bahama

BAHAMA ni ARUSHA?
 
Wekeni takwimu hapa sio mazungumzo ya mitaani tu. Pia kumbuka kuna kitu kinaitwa value addition hao wanaopata zaidi wamechukua hii mali ghafi wakaifua vizuri na kuimarket inavyo stahili - kwa hiyo wanastahili faida kulingana na juhudi yao. Tatizo letu ni wivu na uhasidi - hivi ndio vinatufanya tulivyo !!

kiongozi hizi sio hadithi za mitaani. bahamas tanzanite utafikiri wao ndio wanaichimba. swali la kujiuliza jee
kipato cha tanzania kutokana na tanzanite ni kiasi gani? jee tanzanite yote hiyo imetoka kihalali? kwani inawezekana imetoka kihalali lakini "watu" wametia mifukoni pato lililostahili kuingia serikalini. aidha inawezekana ndio hivyo tena hiyo tanzanite imesafirishwa mojamoja na wachimbaji nasi tumeambulia mashimo.

tanzanite iliyopo bahamas inatisha.
 
Naona mapovu yanawatoka tu, hayo ndo matunda ya kuibakiza ccm madarakani, hamieni airtel sasa na mfaiidi nchi yenu. Dr Slaa ni Nyerere wa leo
 
Ndiyo maana imefika sasa wakati tuwaue viongozi wetu mmoja mmoja hadharani. Wanagawa mali yetu huku mama zetu wakijifungulia sakafuni kama ng'ombe. Watu wanajichukulia kila kitu huku tunabaki tukishangaa na kuchomeana makanisa. Kweli hii nchi haina mwenyewe.
Watu wazima wanatoka kubomoa madhabahu za wenzao eti mtoto kakojolea kurani. Je na ingalikojolewa na mtu mzima ingalikuwaje? Je kuna sheria Tanzania?
Tutaamka lini watanzania? Siku inakuja hawa viongozi watapangwa mstari na kulazwa pema penda wasipende. Nchi hadi imechakaa kwa sababu ya ujinga huku mali yetu ikiwafaidi watu wengine.
 
Back
Top Bottom